SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

Nahitaji Hummer drill machine.
Iwe nzima full set.
 
Wakuu, naomba niwape habari kwamba Jamaa aliyeanzisha hii thread alipata ajali ya kugongwa na treni akiwa Hapa Dar na sasa kalazwa Muhimbili Hospital akiendelea na matibabu.
Too Sad
Aiseeh! Mpe pole sana
 
Wakuu, naomba niwape habari kwamba Jamaa aliyeanzisha hii thread alipata ajali ya kugongwa na treni akiwa Hapa Dar na sasa kalazwa Muhimbili Hospital akiendelea na matibabu.
Too Sad
Pole kwake mungu amfanyie wepesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…