NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Aisee Mbeya inarudi CCM mapemaaa.wananchi wa Mbeya washaamua sasa wamechoshwa na ulaghai wa Sugu.Nakuletea yanayojiri
Hapa ni mapokezi yake Uyole mbeya Jana wakimpokea kwa mkutano utakaofanyika leo
Nilikua huko jumatatu na jumanne,matangazo kila siku juu ya mkutano huo sambamba na wasanii watakaoshiriki fiesta hiyo.Mtaleta watu toka Mbeya nzima.
Vipi upo Mbeya au? Tusijekuta kumbe tuna chat na mbumbumbu yuko Ulaya anabeba mabox.Cheza na kila sehemu lakini achana na Mbeya. Mbeya wameikataa CCM, Mbeya wamemkataa TULIA. Kila utakachokifanya ujue wao wana msimamo wao, watakuheshimu kama Rais kakini utashanga maamuzi yao. Mbeya watamchagua Sugu ndiye Rais wao na Mbunge wao. Mbeya watapiga kura na kuzilinda na wala msithubutu KUZIIBA. Damu itamwagika yaweza kuwa ya Polisi, Mkurugenzi wa Uchaguzi au mwananchi Lakini mwaka huu DHULUMA haina nafasi kwa Mbeya.
Humu unajibizana na mtu usiyemfahamu, kumbe unaweza ukawa unajibizana na mwendawazimu.Academically thinking! Kumbe tunahangaika na watoto wa shule humu?
pole sana we ni kilaza mkubwaWenye akili wanaelewa kinachoendelea.
We can adopt the US-style ie contestants addressing specific topics that touch peoples needs, not that topic you have proposed which simple-minded people would discussWekeni MOTION
Opposers na Propposers.
Napendekeza iwe
Samia ni bora kuliko Mwalimu.
Halafu Lisu awe Propposer na JPM awe Opposer
Nashukuru.pole sana we ni kilaza mkubwa
Wanaogombea Urais ni wawili, hao wengine ni wachekeshaji tu!Wagombea wapo zaidi ya 10, kama baadhi hawataki kwa kutoona manufaa, fanyeni debate na hao wengine wanaoona itawasaidia.
Kwani hujui wanafunzi ni wakigakura wa miaka ijayo? CCM itaendelea kutawala miaka mingi ijayo kama akili zenu ni za kisaccos saccos! Wanafunzi hawawezi kuja kwenye mikutano yenu kwa kuwa mikutano ni vujo vujo tuuu wavuta bhangi kibao.Mida hii ya saa mbili asubuhi wanafunzi wanatafuta nini uwanjani badala yakuwa darasa
Simple minded people ndio tunadhana maneno mengi ya mtu ndio utendaji, kama ni hivyo basi Kasuku anaweza kuwa kiongozi.We can adopt the US-style ie contestants addressing specific topics that touch peoples needs, not that topic you have proposed which simple-minded people would discuss
Magufuli anafanya kwa vitendo hayo ya kwenye midahalo.Debate fanyeni na akina Shibuda.
Dr Magufuli kazi zake zinaonekana bwashee!
Konde boy na Mondi kama wapo nami nakujaUwanja wa Sokoine umefurika kwa sababu tuna jambo letu na Konde boy pamoja na Diamond Platinum hapo
Hicho nacho ni kipimo kizuri cha uelewa wa watanzania kwamba pamoja na yote anayoyaeleza Lissu kuhusu serikali ya ccm ila bado watanzania ndio kwanza wanaenda kujazana kwenye mikutano ya ccm kwa ushamba wa kumuangalia Diamond.Labda nikulize ni nani asietaka kumuona daimond? Kipimo sahihi cha kujaza watu kingefanyika kama wasanii wasingetumika