mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Hapana Mkuu,alimla demu wangu na mimba juu.
Dah pole😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Mkuu,alimla demu wangu na mimba juu.
Sasa mkuu mbona unamlaumu yeye badala ya demu wako? Au alimbaka?Hapana Mkuu,alimla demu wangu na mimba juu.
Huyu jamaa bado yupo tu? Alinifundisha Soil Science mwaka 1979 kipindi hicho akiwa na Masters degree.
Naipokea mimi mstaafubintimkongwe heshma yako🤗✌️
Du! Siku zinaenda sana. Mr Kazuzuru (now Prof) alinifundisha somo la Biometry enzi hizo ndio kwanza alikuwa ameajiriwa kama Tutorial Assistant. Ni mwalimu mzuri sana wa Statistics.Prof Kazuzuru kanifundisha kozi ya Mathematical Statistics aisee yuko gud sana....halafu ni very supportive alinisimamia research yangu ya undergraduate.Mungu amtunze sana maana ni mpole mna interract vizuri tu na anasaidia unapokuwa umekwama
basi umepita muda mkuu....maana mimi namaliza pale 2014 akanisimamia research....But nilienda mwaka 2020 alikuwa tayari Assistant prof,,,tukapiga stori saana namkubaliiDu! Siku zinaenda sana. Mr Kazuzuru (now Prof) alinifundisha somo la Biometry enzi hizo ndio kwanza alikuwa ameajiriwa kama Tutorial Assistant. Ni mwalimu mzuri sana wa Statistics.
Ndio wahitimu wa SUA hao
Pale unapata elimu,itumie hiyo elimu kuyakabili maisha.Unasomea kozi miaka 3 ukisota then unatafuta kazi maisha yako yote bila mafanikio
Karibu sana mkuu; tupo pamoja. SUASO oyeee! Shule ya SUA si mchezo aisee. Kupenya kwa akina Kazururu, Kasile na Sembuche si mzaha unaambiwa.
Soma TCU guidelines ila kwa ninavyojua watu wa engineering diploma mnasoma course zozote za engineering kwa bachelorJe, naweza kusoma bachelor ya Agricultural engineering au Irrigation engineering pale SUA kwa mm ambae nmehitimu diploma ya Mining Engineering. Nauliza wadau
Yes, kwa haraka haraka, nadhani mwamba anaweza kusoma!Soma TCU guidelines ila kwa ninavyojua watu wa engineering diploma mnasoma course zozote za engineering kwa bachelor
Sio kweli, haiwezekani hata kidogo. Mtu wa Diploma ya kilimo na zingine zinakaribiana na hizo mdo anaweza.Yes, kwa haraka haraka, nadhani mwamba anaweza kusoma!
Kwa nini haiwezekani mkuu? Mtu kasoma mining engineering that means he is good in mathematics, wala hana shida kusoma irrigation/agriculture engineering. Na hata chuo hawana shida, watu tuna personal experience na hivi vitu!Sio kweli, haiwezekani hata kidogo. Mtu wa Diploma ya kilimo na zingine zinakaribiana na hizo mdo anaweza.