Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

Kwa nini haiwezekani mkuu? Mtu kasoma mining engineering that means he is good in mathematics, wala hana shida kusoma irrigation/agriculture engineering. Na hata chuo hawana shida, watu tuna personal experience na hivi vitu!
According to guideline ya TCU mkuu au nje?
 
Karibu sana mkuu; tupo pamoja. SUASO oyeee! Shule ya SUA si mchezo aisee. Kupenya kwa akina Kazururu, Kasile na Sembuche si mzaha unaambiwa.
Ukimsema sembuche unafanya nitetemeke.... Kile kichwa kilikuwa sio....
 
Habari wanasuaso Mimi ni mehitimu SUA kozi ya Bachelor of Environmental science and Management mwaka 2021. Naomba yoyote anisaidie niweze kupata kazi au mahali pa internship maana mtaani maisha sio poa..
Tafuta scholarship kasome kama mtaani pagumu
 
Ukimsema sembuche unafanya nitetemeke.... Kile kichwa kilikuwa sio....
Hivi hadi sasa Sembuche anafundisha au amestaafu? Lakini yule mzee anajua sana hesabu hata zaidi ya vijana. Namkubali mno.
 
Wale wanangu wa SUA tulio maliza SUA kwa mbinde tujuane apa jamaan.Yan toka first yr ni Sup mpka third yr.Kwakwel siamini kma nilimalzaga aise.Cz ilikua noma yan mpka natokea kwenye list of graduant nshasota xna.Mpka nahisi nimepata psychological problems cz mara kwa mara naotaga nina Sup so nko na wanangu wa nguvu tunatia msuli Ili tukapge sup yetu.
 
Pamoja na ubize wote ila huwezi amini muda wa bata ulipatikana nasemea kwa sisi ma church boys na girls na kufaulu tulifaulu,ibada sana,makongamano sana,dah i miss that life!
 
Mojawapo ya ugumu ni kwamba pass mark za SUA ni 50 wakati vyuo vingine ni 40. Halafu SUA hakuna digrii za chupi wakati vyuo vingine zipo tele.
Nikuulize jambo moja tu, hizo unazosema passmark ni 50 una uhakika kuwa wanafunzi wa sua huwa wanafikia?,na kama hawafikii nini huwa kinafanyika?,

Hili suala la degree za chupi kusema halipo sua tulia kwanza,mambo si hivyo unavyodhani yako,kuna thread humu jf mtu alisema sua kuna wanafunzi wanawekewa marks bila kufanya UE,unasemaje kuhusu hili pia?,
 
Nikuulize jambo moja tu, hizo unazosema passmark ni 50 una uhakika kuwa wanafunzi wa sua huwa wanafikia?,na kama hawafikii nini huwa kinafanyika?,
Usipofika 50 masomo 4 unadisco; chini ya 4 una supp.
 
ili suala la degree za chupi kusema halipo sua tulia kwanza,mambo si hivyo unavyodhani yako,kuna thread humu jf mtu alisema sua kuna wanafunzi wanawekewa marks bila kufanya UE,unasemaje kuhusu hili pia?,
Lete huo uzi niuone mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…