Sold out ila bado tiketi zanauzwa kwa lampard electronics kariakoo

Mpigania uhuru wa pili

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
3,380
Reaction score
6,376
Angalia hii picha unaona bado watu wananunua tiketi sasa nashangaa sababu tuliambiwa ni sold out na mimi niliuamin uongozi wa simba kwa asilimia 100 sasa nimepita lampard electronics nimeshangaa kuona msururu wa watu wakiwa bado wananunua tiketi
 
Kwahiyo hata Billion 20 uliamini kweli zimeingizwa kwenye account ya Simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…