Sold out ila bado tiketi zanauzwa kwa lampard electronics kariakoo

Sold out ila bado tiketi zanauzwa kwa lampard electronics kariakoo

Mambo wanayo Fanya viongozi wa Simba ni kwakua wanajua akili za wafuasi wao, Rage hakuwaita Lile Jina kwa bahati mbaya Wala kuletewa Manzoki kwenye mkutano mkuu wa Simba haikua bahati mbaya ata Mwekezaji kuongea na mashabiki wa Simba uko Facebook haikua bahati Mbaya.

Wamesha jua aina ya watu wanao waongoza.
Kwa hiyo wanaposema sold out siku tatu kabla ya mechi lengo lako nini. Kwa sababu kuna watu walipanga kwenda maana yake hawajaenda.
 
Back
Top Bottom