Sold out ila bado tiketi zanauzwa kwa lampard electronics kariakoo

Sold out ila bado tiketi zanauzwa kwa lampard electronics kariakoo

Nyie nini kinawauma..watu wenye fweza wamenunua zote wacha wawauzia wanaojicheleweshaga..haibadili maana ya sold out...hao wanaonunua wananunua kwa walionunua..demand ni kuubwaaa vibaya mnoo
Walangue zile zingine wakauze madukani, si zipo bado kwenye mfumo?
 
Angalia hii picha unaona bado watu wananunua tiketi sasa nashangaa sababu tuliambiwa ni sold out na mimi niliuamin uongozi wa simba kwa asilimia 100 sasa nimepita lampard electronics nimeshangaa kuona msururu wa watu wakiwa bado wananunua tiketi
Huyoa atakuwa amenunua halafu anawapiga cha juu. Lakini kwenye mfumo, TIKETI ZIMEISHA
 
Angalia hii picha unaona bado watu wananunua tiketi sasa nashangaa sababu tuliambiwa ni sold out na mimi niliuamin uongozi wa simba kwa asilimia 100 sasa nimepita lampard electronics nimeshangaa kuona msururu wa watu wakiwa bado wananunua tiketiView attachment 3059586
Bado tiketi zinauzwa na walanguzi hata kesho ukienda tmk uwanjani utazipata ila kwa bei ya juu sana.
 
Lampard electronics ameidhinishwa na simba na tokea jtatu anauza hata sahivi saa 7 na dakika 25 anauza bado sio mlanguzi
Si ananunua halafu anauza? Kule kwa Simba mfumo unaonyesha zimeshanunuliwa na hela imeingia, kama atawalangua wengine hiyo si juu ya Simba maana kwenye system TIKETI ZIMEISHA
 
1722607871886.png
 
Nyie nini kinawauma..watu wenye fweza wamenunua zote wacha wawauzia wanaojicheleweshaga..haibadili maana ya sold out...hao wanaonunua wananunua kwa walionunua..demand ni kuubwaaa vibaya mnoo
👏👏👏👏👏👏✔️✔️✔️✔️✔️✔️
 
Basi Lampard alinunua zote
Ndio inavyokuwaga kwenye hizi mechi
Mambo wanayo Fanya viongozi wa Simba ni kwakua wanajua akili za wafuasi wao, Rage hakuwaita Lile Jina kwa bahati mbaya Wala kuletewa Manzoki kwenye mkutano mkuu wa Simba haikua bahati mbaya ata Mwekezaji kuongea na mashabiki wa Simba uko Facebook haikua bahati Mbaya.

Wamesha jua aina ya watu wanao waongoza.
 
Back
Top Bottom