Solution ni kuhama, hakuna kitu inaitwa Formal na Informal blessing

Matayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda
Cheo Cha Pope Kiko wapi hapo?

Na Lini Petro alikuwa mkatoliki?
 
Cheo Cha Pope Kiko wapi hapo?

Na Lini Petro alikuwa mkatoliki?
Karne ya kwanza, Siku ya pentekoste ambayo ndiyo Yesu Kristu alipaa mbinguni na mitume wakanena kwa lugha.
 
Karne ya kwanza, Siku ya pentekoste ambayo ndiyo Yesu Kristu alipaa mbinguni na mitume wakanena kwa lugha.
Karne ya kwanza na siku ya pentecoste, Watumishi walikuwa adui wa ukristo wakimtafuta kuwauwa.

Uongo huo.

Ukatoliki asili yake ni upagani, ndomana Hadi Leo hamtengani na masanamu.
 
DUH!!! NAONA KUNA KAUKWELI FLANI HIVI HALAFU KAUKWELI KENYEWE KANAUMAAAAAAA....!!!!!!!!
 
Picha inaanzia wewe maskini kama hujahudhuria jumuia wanakuzika kwa kukufukia wanakataza kukuombea ila wale matajiri hata wawe na wake 2 na wanatambulika wakifa mambo yao yataenda vizuri watasaliwa bila tatizo lolote daaah hili dhehebu mbona lina sarakasi nyingi utafkiri Chama tawala vile!!!!!!
 
Karne ya kwanza na siku ya pentecoste, Watumishi walikuwa adui wa ukristo wakimtafuta kuwauwa.

Uongo huo.

Ukatoliki asili yake ni upagani, ndomana Hadi Leo hamtengani na masanamu.
Wewe mburula nenda kasome upya Biblia na historia ya kanisa kabla ya kuandika pumba hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…