cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ila kahaba kwa ajiri ya umalaya wake kapata gari?Eti mtu kapata gari baada ya kufirwq,ni sawa tuu Kasisi alibariki
Ila jambazi kwa ajiri ya kupora na kutapeli kapata gari?
Vipi hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kahaba kwa ajiri ya umalaya wake kapata gari?Eti mtu kapata gari baada ya kufirwq,ni sawa tuu Kasisi alibariki
Kwani wewe ni dhehebu gani mkuu?Wakatoliki Si wakristo, ni wapagani tu kama wapagani wengine.
Huoni Yale masanamu?
Cheo Cha Pope Kiko wapi hapo?Matayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda
Karne ya kwanza, Siku ya pentekoste ambayo ndiyo Yesu Kristu alipaa mbinguni na mitume wakanena kwa lugha.Cheo Cha Pope Kiko wapi hapo?
Na Lini Petro alikuwa mkatoliki?
Karne ya kwanza na siku ya pentecoste, Watumishi walikuwa adui wa ukristo wakimtafuta kuwauwa.Karne ya kwanza, Siku ya pentekoste ambayo ndiyo Yesu Kristu alipaa mbinguni na mitume wakanena kwa lugha.
DUH!!! NAONA KUNA KAUKWELI FLANI HIVI HALAFU KAUKWELI KENYEWE KANAUMAAAAAAA....!!!!!!!!Salaam, Shalom!!!
Ulimwengu wa sasa una hadaa nyingi sana,
Watu wanaandika waraka, terminology nyiiingi, chenga za kutosha kufunika dhambi.
Marriage/ NDOA, ukitaja tu neno Hilo picha Inakuja ni muunganiko wa Mwanaume na Mwanamke Kwa Tendo TAKATIFU.
Leo wanakuja wahuni wanasema Eti, same sex mar...!!!
Marriage ni kitu kitakatifu, same sex kamwe haiwezi kuwa NDOA/ Marriage.
Wanaokwenda mbali zaidi na kutuambia kuwa Kuna baraka Rasmi( Formal blessing) na Baraka zisizo Rasmi ( Informal blessing).
Hakuna popote katika Neno la Mungu utakuta vitu vya namna hiyo.
Blessing ni blessing./ Baraka ni Baraka.
Curse ni curse/ LAANA ni laana!!
Baraka zisizo Rasmi ni Politics, siasa zinazoingizwa katika Imani.
Ndugu zangu mlioko huko mmekamatika, kimbieni, Shetani mzima mzima ameingia.
Kupinga Si solution, huwezi kumuelekeza tajiri namna ya kutumia pesa zake ilhali we ni kibarua.
Hameni, Hameni hameni 🙏🙏
Mungu wa Mbinguni awabariki.
Karibuni.
Tena BOKO la hatari kabisa...papa ametoa boko kwakweli...
Wewe mburula nenda kasome upya Biblia na historia ya kanisa kabla ya kuandika pumba hapa.Karne ya kwanza na siku ya pentecoste, Watumishi walikuwa adui wa ukristo wakimtafuta kuwauwa.
Uongo huo.
Ukatoliki asili yake ni upagani, ndomana Hadi Leo hamtengani na masanamu.