Soma halafu utoe mchango wako

we vp?umelewa au?
 
This is a true story jamani, I am not lying, kwanza why should I?Nimetoa hii story coz huyo dada kweli aliniomba ushauri and wakati mume anataka kumchoma kisu I and other majirani were there!
 
Afunge ,afanye maombi ya nguvu na sala za toba ,aanze maisha mapya akiwa kamtanguliza Mungu katika njia zake.

Huyo mungu anatangulizwa mtu akishaumbuka kwa uchafu wake alokuwa anaufanya?? Huyo dada ni malaya kweli hastahl hata kupewa msamaha.
 
This is a true story jamani, I am not lying, kwanza why should I?Nimetoa hii story coz huyo dada kweli aliniomba ushauri and wakati mume anataka kumchoma kisu I and other majirani were there!

Amelikologa sasa alinywe mwenyewe
Mwambie atulie atafute wanaume wengine hao amesha wachanganya asahau kuwapata tena
 
mwambie amuombe msamahama mumewe .....WASHAWASHA KAMSEMO KAKO KA KU LOG OFF NIMEKACHOKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…