Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Ndugu zangu mimi sendeka namfahamu vizuri zaidi,ni kweli ana zero form six na sidhani kama ana uwezo wa kumlipia tundu lissu tuition otherwise akafanye mtihani tena wa form six aondoe hiyo aibu yake halafu angalau auze ng'ombe 2000 kati ya 7000 alionao awasaidie watoto wake wa nje wanaoteseka hovyo kutokana na kuwatelekeza hasa watoto wake kama vile nailejileji anayesoma tumaini university,kijana wake aliyemaliza sheria chuo kikuu makumira kwa kudra za mwenyenzi mungu,naino aanayesoma lushoto diploma ya sheria.
ishu ni hii,kama ameshindwa kuwatunza watoto wake atawezaje kumlipia tundu lissu tuition ya kitu ambacho yeye mwenyewe hajui? Sendeka sio mmasai biologically,ni msomali,na baba yake anaitwa mohamed,yeye alikuwa akiitwa Ismail lakini alibadilisha jina na kuitwa christopher mara baada ya kujiunga na shule ya sekondari moringe,ndio maana hana maadili ya kimasai,ana ropoka hovyo hovyo,hebu mwangalie telele,olenangoro,lekule laizer wote ni wastaarabu isipokuwa sendeka. Mwambieni aache kiherehere
poor sendeka
we vp?umelewa au?