Soma hii halafu uniambie mashabiki wa timu gani ni mbumbumbu

Soma hii halafu uniambie mashabiki wa timu gani ni mbumbumbu

Nimeona post moja huko mitandaoni nikabaki kushika tama....

Wenzetu wameona Simba walizindua AFL, na wao wakaona wasipitwe, ngoja wajizindulie CAFCL na kuna wanachama wao hai wanatembea vifua mbere.

Embu vyura kujeni mjieleze jinsi mlivyoaminiwa na CAF kuzindua mashindano.

View attachment 3075866
Hizi ndio comedy ambazo TFF/ Bodi ya Ligi wamesema watushughulika nazo..wakikalia kimya hili wanalitia Taifa kwenye aibu.
 
Back
Top Bottom