Rafki
Kwa Wewe Ambaye unataka Kuanzisha Biashara Yako Ndani ya Mwaka 2026 ili Uanze Kutengeneza Pesa ya Uwakika Kuna Kitu Cha Msingi sana ambacho Unatakiwa Kukifahamu
Na, Kitu Hicho Ni Soko La Bidhaa au Huduma ambayo unaenda Kutoa
au Kuuza Na je Soko Ni Nini?
Kwa Mujibu wa Stefan Georgi mtalamu Wa Uandishi wa Matangazo Duniani Yenye Kunasa wateja Mtandaoni Anasema Soko Ni Kundi La Watu Ambao Bidhaa au Huduma Yako inaenda Kuwasaidia Kutatua Changamoto Fulani.
Mfano Kama Unataka Kuuza Bidhaa zenye Kuwasaidia Watu Wenye Uzito Mkubwa Kutatua Changamoto ya Uzito Mkubwa Wale Watu Wenye Uzito Mkubwa Ndio soko la Bidhaa yako.
Kama Unataka Kuuza Bidhaa za Kuwasaidia Wanawake Wenye U.T.I Sugu Kuondokana Na Tatizo la U.T.I Sugu wale wanawake Wote Wenye U.T.I Sugu Ndio Soko La Bidhaa Yako
Kama Unataka Kuuza Bidhaa za Kuwasaidia Wanaume Wenye Matatizo Ya Nguvu za Kiume Kuondokana Na Changamoto ya Nguvu za Kiume wanaume wote Wenye Hiyo Changamoto Ndio Soko la Bidhaa Yako.
Kwahiyo Kama Unataka Kuanzisha Biashara yenye Uhakika Wa
Kutengenezea Pesa Ndani Ya Mwaka 2026 waza Kuhusu Soko La Bidhaa au Huduma Yako Usikulupuke Kuanzisha Biashara Bila Kufahamu Bidhaa au Huduma Yako.
Ni Kwa Ajili ya Kuwasaidia kina nani kutatua Changamoto Gani Hao kina Nani Na Changamoto zao Ndio soko La Bidhaa au Huduma Yako
Na Usiingie Kwenye Biashara Kwa Mawazo ya Kutengeneza Pesa tu Ingia Kwenye Biashara Kwa Lengo La Kuwasaidia Watu Kutatua Changamoto Zao full stop Pesa zitakuftwa tu.
Na Ukishafahamu Soko La Bidhaa au Huduma Yako Una machaguo Mawili Chaguo la kwanza Ulenge Soko Kubwa na Chaguo la pili ulenge soko dogo
Na Unaposema soko Kubwa Ni pale Ambao unaumua Kuwauzia Bidhaa au Huduma Yako watu Wote Wenye Changamoto Fulani
Mfano Kama Unauza Bidhaa Za Nguvu za Kiume ukiamua Kuwauzia
Bidhaa Yako wanaume wote Wenye Changamoto za Nguvu za Kiume
Hapo Tunasema Umelenga Soko Kubwa Lakini Unaposema Soko Dogo Ni pale Ambao Unaumua Kulilenga Kundi Maalumu tu la watu Ndani ya Soko Kubwa kwa Ajili Ya Kuwasaidia kutatua Changamoto Zao Mfano Kama Unauza Bidhaa za Uzito Mkubwa badala ya Kutaka Kumuuzia.
Kila Mtu Mwenye Uzito Mkubwa Bidhaa Zako wewe Unaumua Kuwauzia wanawake tu Wenye Uzito Mkubwa Mtu ambaye sio Mwanamke unaacha Naye kabisa Kwahiyo Kwa kufanya Hivyo Unakua Umelenga Soko Dogo
Tumaini Langu Umepata Kitu Kipya
Cha Kujifunza Happy New Year
Mtwa Mkwawa Kiboko Ya Wajerumani