frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,339
Sitta hawezi speed ya sasa viwango na kasi aliyokuwa nanyo ilikuwa ni ya akina malecela na wabunge wengine wasijua taratibu ..................Leo hii Sitta asipoaangalia ndio atakuwa spikaa mwenye historia mbaya ya kushindwa kuendesha Bunge nchini Tanzania.
Umefunguka mkuu kama nguli mmoja wa uchambuzi wa maswala ya katiba nchi....
Kula like mia