TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
Kwanini Lissu au Prof Safari mmoja wapo hakugombea?Mbowe anaihujumu CHADEMA na Upinzani kwa ujumla ila wengi bado hamjashtuka tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini Lissu au Prof Safari mmoja wapo hakugombea?Mbowe anaihujumu CHADEMA na Upinzani kwa ujumla ila wengi bado hamjashtuka tu.
Narudia tena na tena kwamba watanzania wa leo wameamka sio wa kuburuzwa ... kwa lolote linalofanyika katika Tanzania ya leo kabla ya maamuzi kutolewa mtoaji wa swala hilo lazima afikiri mara mbili.... Sitta kama anataka kuvunja heshima na uaminifu kwa watanzania aendelee kupuuza matakwa ya walio wengi.. atadharaulika na hatima yake kisiasa itatiwa doa ambalo halitasahaulika vizazi na vizazi......Mungu Ibariki Tanzania
Mimi naona swali lako lilitakiwa liulizwe wakati kanuni zinatungwa.Maelezo yana mantiki, lkn nauliza kuna athali gani za moja kwa moja kama Mh Rais akizindua bunge baada ya Jaji warioba kuwasilisha hii Rasimu?
mzigo mzito mpe mnyamwezi, naye kwa ujinga wake ata ubeba hata kama ana hatarisha mgongo wake, ndio maana Tabora ipo nyumaKuna mdau fulani aliwahi post hapa JF, akasema Six hii ndiyo enzi yake ya mwisho, ataboronga, kwa bahati mbaya sikumuelewa vizuri ila sasa nimeanza kumuelewa.
Six anatakiwa ajirekebishe vinginevyo, PR yake
itashuka sana kuliko maelezo,Aweke pembeni
ushabiki wa chama chake cha kisiasa KT
inayoandikwa ni nchi sio chama fulani
maslahi ya nchi yatangulizwe mbele
utii wa sheria na kanuni ni
muhimu sana
vinginevyo
ni aibu
inafuata
kwa
Taifa
letu
Maelezo yana mantiki, lkn nauliza kuna athali gani za moja kwa moja kama Mh Rais akizindua bunge baada ya Jaji warioba kuwasilisha hii Rasimu?
Maelezo yana mantiki, lkn nauliza kuna athali gani za moja kwa moja kama Mh Rais akizindua bunge baada ya Jaji warioba kuwasilisha hii Rasimu?
Ukitaka kujua mtu fulani ni mzuri ni lazima umpate mbovu. Sasa naona wazi Kificho alistahili kuwa Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge la Katiba. Nina uhakika Mzee wa Urambo, asipobadilika hawezi, Mama yetu Makinda ni hoi bin taabani, yule mgogo Ndugai ni mzigo usiobebeka!
Maelezo yana mantiki, lkn nauliza kuna athali gani za moja kwa moja kama Mh Rais akizindua bunge baada ya Jaji warioba kuwasilisha hii Rasimu?
Kuna mdau fulani aliwahi post hapa JF, akasema Six hii ndiyo enzi yake ya mwisho, ataboronga, kwa bahati mbaya sikumuelewa vizuri ila sasa nimeanza kumuelewa.
Six anatakiwa ajirekebishe vinginevyo, PR yake
itashuka sana kuliko maelezo,Aweke pembeni
ushabiki wa chama chake cha kisiasa KT
inayoandikwa ni nchi sio chama fulani
maslahi ya nchi yatangulizwe mbele
utii wa sheria na kanuni ni
muhimu sana
vinginevyo
ni aibu
inafuata
kwa
Taifa
letu
Ndo mana mm sikuwa happy kura zote kupewa huyu mzee na vyama visiweke mgombea mwenza., chura hawezi kubadilika ngozi, ccm ni ccm tu sasa kazi mapema imeanza kuonekana.,
Wabunge wanatakiws wakomeshe huu udhalishwaji unaofanywa na Sitta. Haingii akilini umpe dakika 60 (au 120) mtu aliyezunguka nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi, halafu unawapa Wakenya siku3! Hii ni fedheha na matusi yasiyovumilika.
Wakenya wa nini? Tunataka katiba ya Watanzania iandaliwe na Watanzania. Na uwezo tunao. Tabia ya kikoloni ya Sitta kuona Watanzania hawawezi kufanya kitu bila mataifa mengine kuingilia ni aibu. Wabunge tuondeleeni hii aibu. Wakenya hata mipaka ya nchi hawaijui achilia mbali mila na tamaduni za Watanzania. aibu.