Soma hii ujue chanzo cha bunge kuahirishwa!

Soma hii ujue chanzo cha bunge kuahirishwa!

Safi sana UKAWA!! Hapana kuburuzwa wakati kanuni zipo wazi. Aluta continua! Ukombozi umekaribia!
 
Maelezo yana mantiki, lkn nauliza kuna athali gani za moja kwa moja kama Mh Rais akizindua bunge baada ya Jaji warioba kuwasilisha hii Rasimu?


Kanuni ziliwekwa kwa sababu, lazima zifatwe. Tukianza fanya mambo kwa kufata matashi ya nafsi zetu bunge la katika litaisha 2015.Lazima kanuni zifatwe .Ni ujinga usio elezeka leo hii baaada ya kuteketeza mamilioni ya pesa za walipa kodi katika kuanzdaa muungozo wa bunge la katiba uje useme unataka fanya maamuzi kinyume na huo muongozo .UNAVUTA VILEVI GANI NDUGU, SOMETHING MUST BE WRONG WITH YOUR BRAIN.
 
Sasa kundi lingine linaitwa UkAWA.Hii fujo tupu.Hii pia ndio furaha ya wana JF.hupenda sana vurumai na si maridhiano_
Naona unafurahi sana VURUMAI, mimi napenda haki, sipendi mambo ya kupindishapindisha. Umezisoma kanuni au unakoment kwa ushabiki wa vyma na sio kwa kufuata taratibu zilizopo!!!
 
Kwanini Lissu au Prof Safari mmoja wapo hakugombea?Mbowe anaihujumu CHADEMA na Upinzani kwa ujumla ila wengi bado hamjashtuka tu.

Yaani wewe unajiuliza uende ACT au ubaki chadema, upo njia panda! au wewe gambaaa?
 
Kumbe kuna makundi mawili sasa ukaw na ccm hvy tambueni sasa itakuwa ya pande 2, msilalamike tena
 
Back
Top Bottom