Soma mkasa unitesao akili yangu

Soma mkasa unitesao akili yangu

Naomba nikuulize maswali haya kama utanijibu basi swali lako la kwanza kuhusu mimba niyalijibu kwa ufasaha,
1.Dalili uliyo mkuta nayo siku ya kwanza wakati unasex naye ilikuwa ni ipi kati ya hizi
a) Alikuwa na joto sana kuliko joto la kawaida.
b) Ulipo weka uume wako kulikuwa na mnato mnato kwenye uke wake mfano wa gundi?
c) Mapigo yake ya moyo yalikuwa vipi yaani yaalikuwa yanakimbia zaidi na kujihisi kukusogelea zaidi na zaidi, yaani kukukumbatia isivyo kawaida,
Kama kuna dalili hizo basi juwa aliingia na mimba yako ingawa hatuta ihesabu moja kwa moja kwa sababu,
kuna jia mbili za mwanamke kuzifuta mbegu zisiungane na yai lake kutungisha mimba,
1: kumeza vidonge vya P2
2:Anapomaliza kusex anakojoa na kulala kifudi fudi au unaamuka haraka wakati amemaliza sex na kunawa kwa maji

KUHUSU UAMINIFU WA WANAWAKE.
ukweli ukiliangalia hilo hauta kuja uoe kamwe, najitolea mfano mimi nimesalitiwa na wasichana zaidi ya 6 ktk nyakati tofauti tofauti,ambao nilitarajia kuoa, huu ni mwaka wa 5, sijapata wa kuoa
 
mhh kuna watu wamekubuhu, unalala na mwanaume mwingine siku chache kabla ya harusi ☹️ ☹️
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kijana acha kuwa zuzu, una uhakika gani alikuwa siku za hatari? Yaani kwa kuambiwa tu na huyo binti ndio uamini?

Halafu, wewe si mwanzo ulimtongoza mchuchu ili upewe tunda, sasa mwishoni umepewa tunda kwa raha zako unaanza kujifanya hakimu wa mahakama ya mwanzo...eboh!!
 
Naomba nikuulize maswali haya kama utanijibu basi swali lako la kwanza kuhusu mimba niyalijibu kwa ufasaha,
1.Dalili uliyo mkuta nayo siku ya kwanza wakati unasex naye ilikuwa ni ipi kati ya hizi
a) Alikuwa na joto sana kuliko joto la kawaida.
b) Ulipo weka uume wako kulikuwa na mnato mnato kwenye uke wake mfano wa gundi?
c) Mapigo yake ya moyo yalikuwa vipi yaani yaalikuwa yanakimbia zaidi na kujihisi kukusogelea zaidi na zaidi, yaani kukukumbatia isivyo kawaida,
Kama kuna dalili hizo basi juwa aliingia na mimba yako ingawa hatuta ihesabu moja kwa moja kwa sababu,
kuna jia mbili za mwanamke kuzifuta mbegu zisiungane na yai lake kutungisha mimba,
1: kumeza vidonge vya P2
2:Anapomaliza kusex anakojoa na kulala kifudi fudi au unaamuka haraka wakati amemaliza sex na kunawa kwa maji

KUHUSU UAMINIFU WA WANAWAKE.
ukweli ukiliangalia hilo hauta kuja uoe kamwe, najitolea mfano mimi nimesalitiwa na wasichana zaidi ya 6 ktk nyakati tofauti tofauti,ambao nilitarajia kuoa, huu ni mwaka wa 5, sijapata wa kuoa
Una umri gani?
 
Mkuu kwani watoto wameisha kiunoni? Mwache aondoke nao tafuta mwanachuo mwenzako uzae nae.

Maana unasema ulipata nafasi ya kufanya kazi, mara binti anasoma. Yani hiyo PT uliyokuwa unafanya pale halmashauri tayari ulikuwa kazini?
 
Aisee!.

Sioni cha kukuogofya.
Bwana mdogo, kuhusu hofu yako ya kwanza kama ameingia kwenye ndoa na mimba yako, hatuwezi kukuhakikishia. Kwa sababu hatuna hakika kama kweli alikuwa kwenye siku za hatari. Lakini pia, mwanamke anaweza kuwa kwenye siku za hatari akamwagiwa shawa lita million na asipate mimba.

Kupata mimba ni ishu kubwa tu.

Kuhusu swala la hofu juu ya uwezo wako wa kutungisha mimba, majibu ni kama yale ya juu. Hakuna hakika.

Ishu ya usaliti isikukuvurugie imani yako ya kuoa. Tabia na mienendo twatofautiana. Haimaanishi uliyempata naye atakuwa vivyo hivyo.
Ila takwimu zinaonyesha wanawake walio kwenye hatari ya kupata mimba kwa haraka ni wanafunzi, beki tatu na wake za watu pindi wanapo chepuka.
 
"Aliyelala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi bado mnanishauri harusi"
Bado nipopo by Mh. Mwana FA
 
Mimi ushauri wangu ni kwamba usirudie kucheza match za siku mbaya.
Hakuna kitu sipendi maishani kama kumpa mwanamke Mimba na nishindwe kuwa nae, inauma sana mtoto wako akalelewe na baba mwingine.
 
Apa nme toka kula bao 4 za mlipiwa kodi kama huyo kwa raha zangu ...
 
Wewe ni mwanamke inakuwaje umeenda kumlala mwanamke mwenzio?

Ama ndio tomboy wewe.

Screenshot_20211108-180824.jpg

Screenshot_20211108-180802.jpg
 
Sasa hapo unatesekaje? Mavijana ya siku hizi kwa kujiendekeza duuuh
 
Back
Top Bottom