Soma mkasa unitesao akili yangu

Soma mkasa unitesao akili yangu

Endelea kusubiria matokeo baada ya maamuzi yako mkuu. Utalipwa kwa shughuli uliyoitenda!

N.B: Wanawake wote niwakuishi nao kwa akili kubwa sana
Mpaka sasa tushapigwa tatu bila na wanawake hakuna akili kubwa wala kisoda bana
 
Mdogo wetu, usije ukarudia kulala kwa mwanamke kama humlipii kodi.

Narudia... Usije kamwe ukafanyeje sijui. Nimesemaje hapo juu?
Atakuja kupakwa mafuta siku moja[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom