Baba jayaron JF-Expert Member Joined Jun 29, 2015 Posts 4,324 Reaction score 5,933 Jun 19, 2022 #61 msakuzi_huru said: Endelea kusubiria matokeo baada ya maamuzi yako mkuu. Utalipwa kwa shughuli uliyoitenda! N.B: Wanawake wote niwakuishi nao kwa akili kubwa sana Click to expand... Mpaka sasa tushapigwa tatu bila na wanawake hakuna akili kubwa wala kisoda bana
msakuzi_huru said: Endelea kusubiria matokeo baada ya maamuzi yako mkuu. Utalipwa kwa shughuli uliyoitenda! N.B: Wanawake wote niwakuishi nao kwa akili kubwa sana Click to expand... Mpaka sasa tushapigwa tatu bila na wanawake hakuna akili kubwa wala kisoda bana
Minja Ngalason JF-Expert Member Joined Jan 8, 2017 Posts 1,284 Reaction score 1,839 Jun 19, 2022 #62 Satan said: Mdogo wetu, usije ukarudia kulala kwa mwanamke kama humlipii kodi. Narudia... Usije kamwe ukafanyeje sijui. Nimesemaje hapo juu? Click to expand... Atakuja kupakwa mafuta siku moja[emoji23][emoji23][emoji23]
Satan said: Mdogo wetu, usije ukarudia kulala kwa mwanamke kama humlipii kodi. Narudia... Usije kamwe ukafanyeje sijui. Nimesemaje hapo juu? Click to expand... Atakuja kupakwa mafuta siku moja[emoji23][emoji23][emoji23]
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,133 Reaction score 26,766 Jun 19, 2022 #63 Naki 12 said: mhh kuna watu wamekubuhu, unalala na mwanaume mwingine siku chache kabla ya harusi [emoji3525] [emoji3525] Click to expand... Wanawake ni majasiri kwenye mambo fulani acha tu Wanatisha ile mbaya
Naki 12 said: mhh kuna watu wamekubuhu, unalala na mwanaume mwingine siku chache kabla ya harusi [emoji3525] [emoji3525] Click to expand... Wanawake ni majasiri kwenye mambo fulani acha tu Wanatisha ile mbaya
Smart Guy JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 6,808 Reaction score 6,934 Jun 19, 2022 #64 Aisee