SOMA: Namna BIBLIA ilivyotabiri kipigo cha GAZA na Majirani zake, na namna GAZA ilivyokuwa ikisurubiwa toka enzi za manabii

Kuna wendawazimu ukiwaambia ukweli huu wanakujibu ni matango pori. Wengine dini zao hazina unabii na mafunuo yake duniani, ndio wale wasiokielewa kabisa kitabu cha nabii danieli na kitabu cha ufunuo wa yohana kuhusu mambo yatakayojiri duniani na mifumo yake ya utawala
 
Kwa hiyo palestine inagongwa na mashoga siyo? Tandikwa mbaya mno.
 
Israel amebarikiwa nini?

Li nchi lina vita, ugaidi, ukatili wa kila aina, Halafu unasema imebarikiwa?

Hiyo Biblia yenu imepumbaza hizo akili zenu hadi mmekuwa mazwazwa.
 
Kwa hiyo Mungu huyo ana operate adhabu zake hapo Gaza tu?

Kwamba hao Gaza ndio wakosefu sana sana dunia nzima?

Biblia ni andiko moja la kipumbavu sana.
Wewe hauwajui tu wale wapalestina wanamambo ya ajabu sana wanalambana wenyewe kwa wenyewe (dada na kaka) alafu wanamwabudu shetani, wakati S = Allah
 
Kwa hiyo Mungu huyo ana operate adhabu zake hapo Gaza tu?

Kwamba hao Gaza ndio wakosefu sana sana dunia nzima?

Biblia ni andiko moja la kipumbavu sana.
Gaza ina Km chache za mraba. Mungu awaadhibu hivyo wakati kuna majiji yanafanya madhambi balaa na wanakula bata!!!..
Kuna mahali hatuelewi maandiko vizuri.
 
Gaza ina Km chache za mraba. Mungu awaadhibu hivyo wakati kuna majiji yanafanya madhambi balaa na wanakula bata!!!..
Kuna mahali hatuelewi maandiko vizuri.
Maandiko hayo ni stori za udaku.

Mungu hayupo
 
Wewe hauwajui tu wale wapalestina wanamambo ya ajabu sana wanalambana wenyewe kwa wenyewe (dada na kaka) alafu wanamwabudu shetani, wakati S = Allah
Kwamba wapalestina hao ndio wadhambi sana ulimwenguni?

Tanzania tu hapa Dar es salaam, Kuna uovu wa kutisha tena nadhani ni zaidi ya wa hao wapalestina.
 
Kumbe ilikuwa inaitwa Gaza tangu enzi hizo
 
Wapalestina kuwa waislamu na kuongea kiarabu haimaanishi kuwa wamepoteza asili yao. Hata waarabu wenyewe wana makabila, na kwa ulimwengu wa sasa wapalestina wanahesabika kama mojawapo ya makabila ya kiarabu.
Kwa kifupi, wafilisti wa kale ndiyo hao hao wapalestina/wafilistini wa leo.
 
Myahudi gani katudanganya.... Huyo huyo Yesu si ndio nyie mnamuita ISSA, inakuwaje unasema kauli hiyo... Basi sote na nyie mmedanganywa
Mmeambiwa Mungu, Miislam haikuba hilo kabisa la yesu kuwa ni Mungu, wewe ulisikia kuna Mungu anaitwa Issa?
 
Kweli kabisa... Watu hawaelewi kwamba huu ni unabii na si hekaheka tu
 
Israel amebarikiwa nini?

Li nchi lina vita, ugaidi, ukatili wa kila aina, Halafu unasema imebarikiwa?

Hiyo Biblia yenu imepumbaza hizo akili zenu hadi mmekuwa mazwazwa.
Imebarikiwa kuwa Taifa teule machoni pa Mungu, na Mungu kasimama nao kwenye Vita tangu enzi na enzi wakiwa kwenye ardhi yao... Mfalme Daudi aliweza kupigana vita na kuchukua kila falme iliyokuwa kwenye ardhi ya Israel, na yeye ndio alijenga Yerusalemu na kuufanya mji mkuu... Ardhi ya Israel haiwezi kunyang'anywa na mtu yeyote kwa sababu imebarikiwa, licha ya watu wa Israel kwenda utumwani na kadhalika bado wanarudi na wanaweza kukombia nchi yao. Nchi gani Duniani ambayo inaweza kutawanyika na ikarudi na kuchukua ardhi yao kibabe licha ya uchache wao
 
Gaza ina Km chache za mraba. Mungu awaadhibu hivyo wakati kuna majiji yanafanya madhambi balaa na wanakula bata!!!..
Kuna mahali hatuelewi maandiko vizuri.
Hiyo Gaza ni eneo la Israel... Mbona ila ndio hivyo linagombaniwa toka enzi... Eneo la Israel liko kwenye Unabii, na hili unabii ukamilike lazima yatokee yaliyotabiriwa na mitume.

Hayo mataifa mengine hayako kwenye maagano na MUNGU.... Sisi mataifa mengine ni kama mtoto wa nje ya ndoa tu, hapendwi sana. Wewe ukitenda dhambi mwisho wako ni motoni tu. Kwamba unataka na nchi yako ishambuliwe na Israel. Nchi yako haiko kwenye ubabii ndio maana uwezi kuona hayo matukio yakifanyika kwenye nchi yako, wewe nchi yako unabii wake haukuandikwa
 
Asante sana Kaka.

Watu wanadhani Gaza inapigwa kwa bahati mbaya kumbe ni unabii
Ni kweli unabii ndiyo unaotendeka Gaza, waisraili wamerudishiwa nguvu, mali pamoja na watu wengi kuwa nyuma yao, lakini wakikengeuka (na wanakengeuka hivi sasa) ndiyo ahadi ya pili itakapokuja ya kuletewa watu watakaowapiga.
Narrated Abu Huraira:
Allah's Messenger (ﷺ) said, "The Hour will not be established until you fight with the Jews, and the stone behind which a Jew will be hiding will say. "O Muslim! There is a Jew hiding behind me, so kill him."
 
Maandiko hayo ni stori za udaku.

Mungu hayupo
Wataalamu wa mambo wanakwambia ni heri uamini yupo alafu husimkute, hiyo haitakuwa kesi kwa sababu umeamini alafu ukumkuta.

Kesi ni hiyo Usiamini alafu umkute kwa sababu tu umekataa kuamini, utaelewa cha mtema kuni
 
Kwamba wapalestina hao ndio wadhambi sana ulimwenguni?

Tanzania tu hapa Dar es salaam, Kuna uovu wa kutisha tena nadhani ni zaidi ya wa hao wapalestina.
Wewe kipindi Waisrael wanatengeneza ukaribu na MUNGU na kuandika unabii wa Nchi yao... Babu zako wa Tanzania walikuwa hawana muda na kutengeneza unabii, kazi yao ilikuwa kuwinda na kutengeneza uchawi... Wapalestina hawana dhambi bali, ni jinsi wanavyotaka kushambulia Israel ambayo tayari imeshapewa kibali cha kuwashinda wapalestina, watashindana lakini hawatashinda, mpaka mpinga kristo atakaporudi... Nenda kasome Armageddon War, vita ya mpinga kristo.

Sasa unafosi na Tanzania yako iwemo kwenye unabii wa Israel, nyie dhambi zenu za dar ea salaam hukumu yake ni motoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…