Au pedi za kinamama ukawape wanafunzi wa SUA.Lingekuwa gazeti ningewapa wamasai wachambie mbugani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au pedi za kinamama ukawape wanafunzi wa SUA.Lingekuwa gazeti ningewapa wamasai wachambie mbugani
Viwango vya watanzania ni vya chini sanaKwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi. List ni kama ifuatavyo;
1. Ummy Mwalimu - Waziri wa afya
2. Mwigulu Lameck Nchemba - Waziri wa fedha
3. Chalamila - RC Dar es Salaam
4. Alberto Msando - DC Handeni
5. Januari Makamba - Waziri wa mambo ya nje
6. Cecilia Paresso - Mbunge viti maalum CHADEMA
7. Nape Nnauye - Waziri wa mawasiliano
8. Hawa Bananga - Mbunge viti maalum CHADEMA
9. Abdul Nondo - Kiongozi wa vijana ACT
10. Jumaa Aweso - Waziri wa maji