Soma orodha ya viongozi waliofanya vizuri 2023. Wa upinzani pia wamo

Ukiachia Abdul, Hawa wengine umewataja ili wakuhonge ?
Kitila?
Makamba?
Mwigulu ? Sasa tunaelekea kwenye hyper inflation.
Nape naye Yuko kwenye watu wachapa kazi? Hivi wewe utakua MTU wa namna gani?
Mume wako atakua na shida Sana.
 
Kuna Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba DC ni mama anaitwa FATINA LAAY huyu ni mtu na Nusu, mama mwenye hekima na Busara za hali ya juu. Natamani viongozi wote wa CCM wangejifunza kutoka kwake. Kwa umri wangu nilio nao nimewaona wakurugenzi na viongozi wengi lakini hakika huyu amezidi wote kwa utendaji wake mzuri. Ni kweli hakuna aliye mkamilifu lakini kwenye kipengele cha kutenda haki bila kujali huyu mama kwangu ni namba moja. Mtoa mada naomba na huyu mama umeongeze kwenye orodha yako.
 
Viwango vya watanzania ni vya chini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…