Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Nahisi ni ile kuona mtu bado mpo naye na mnaenda kwake hivyo utaipata muda wowote au kuhofia kuonekana huna imani na mtu ambaye huko benki atatoka na zaidi ya laki 5.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi ni ile kuona mtu bado mpo naye na mnaenda kwake hivyo utaipata muda wowote au kuhofia kuonekana huna imani na mtu ambaye huko benki atatoka na zaidi ya laki 5.
Mkuu hicho Ni Kisa cha kweli, Kuhusu Biashara usiwaze, Nauza dailyubunifu wa tangazo umekaa poa sana sema bahati mbaya haupo dar ungepata tenda kadhaaa
Nyama hakulipa...Kwa hiyo Mshikaji 'amenunua' Boca Boca kwa kilo moja ya nyamachoma, ama hats hiyo alikuwa hajaitolea hela...??
Haha walikuwa wanaogopa kumdai 'boss'Nahisi ni ile kuona mtu bado mpo naye na mnaenda kwake hivyo utaipata muda wowote au kuhofia kuonekana huna imani na mtu ambaye huko benki atatoka na zaidi ya laki 5.
Mkuu mimi Ni mpiga picha kwa hapo, hao Ni wadogo zangu hua wanakuja jioni kusaidia kazi ya Kaka yaoView attachment 1482604
Halafu huyu si mtoto kabisa...!
Kijiwe chenu kinaajirije watoto wadogo, afu we ndiye yupi hapo...
NakubaliHuwa hakuna mjanja mbele ya mipango kama hiyo
Lipia tangazo kaka.wewe jamaa inaoneaha mishentown sana Baunsa wa bar.
HahahahaahahahLipia tangazo kaka.
Nimecheka km fala hadi nliyelala nae anashangaaMh hawa watu ni hatari.
Nilikua nashinda kijiwe kimoja hivi cha kuuza maua. Siku hiyo akaja jamaa akauliza bei ya maua akatajiwa akasema atakuja kesho yake, alitaka maua ya zaidi ya laki 2.
Kesho akaja huku akiwa amekodi kirikuu kabisa, basi akatoa 20 kama tip ya vijana kumbebea maua. Tumemaliza akasema inabidi twende naye kwake ili tumshushie, tukakubali. Pesa ya maua akasema anaenda kuitoa benki Mlimani City.
Njiani akamwambia dereva wa kirikuu ampe laki 4 akamtumie mkewe akifik Mlimani akishatoa pesa atamrudishia. Dereva akajibu ana laki 2 tu, mshua wa maua akajibu ana laki jamaa akasema agewe tu hiyo hiyo.
Akaomba simu ya mshua wa maua ili atumie kuandika namba pembeni, mshua akatoa. Simu ilikua Hauwei Y6 Pro (at that time ilikua ni bonge la simu). Alivyogewa akashuka akaingia money shop akarudi tukaendelea na safari. Simu hajarudisha hapo
Kisha ikaja mada ya video ya mfanyakazi akimkanyaga mtoto na abuse kibao, mada ilivyopamba moto dereva kirikuu akasema halafu ninayo kwenye simu, mnunua maua akasema hebu nione. Akagewa simu akaangalia kisha akabaki nayo pia. Hii ilikua Tecno sikumbuki aina gani.
Tulivyofika Mlimani jamaa akashuka, akaingia ndani mule watu tukawa nje tunamsubiri. Baada ya muda kupita mshua wa maua akasema ebwana tuingie ndani tumshtue kua muda unaenda, jamaa alisema anaingia CRDB. Wakaingia, baada ya muda wanatoka wanasema mshkaji hayupo.
Kwa jinsi alivyo nadhifu na mchangamfu kumuwazia utapeli haikua rahisi, mshua wa maua akasema pigeni namba yangu, tunapiga simu haipatikani tukajaribu na ya dereva kirikuu ikawa haipatikani.
Jibu tukawa tushapata. Mshua wa maua anataka kumpiga dereva kirikuu akisema kashirikiana na yule bwana. Mwisho kila mtu akaamini kua ndiyo kashalizwa. Dereva kirikuu akasema hapa hapandi mtu gari langu maua yenu nayatupa. Katika ile 20 tukampa 5 ndiyo akakubali kuturudisha kijiweni.
Dah; maisha hayaMh hawa watu ni hatari.

UNAJUA kutangaza Biashara mamaeee...
hapo story ni chai..lengo lako kubwa ilikuwa ni kuji brand naona umefanikiwa
so usisahau kulipia tangazo
Mkuu nilisikitika sana PIA,dah aisee hapo kwa style hiyo hutoki lazima utabananishwa ukutani,roho inaniuma sana kwa huyo boda boda najaribu kuvaa viatu vyake da naona vinanipwaya sana
nimecheka hadi machozi. Matapeli wana mbinu sana.Mh hawa watu ni hatari.
Nilikua nashinda kijiwe kimoja hivi cha kuuza maua. Siku hiyo akaja jamaa akauliza bei ya maua akatajiwa akasema atakuja kesho yake, alitaka maua ya zaidi ya laki 2.
Kesho akaja huku akiwa amekodi kirikuu kabisa, basi akatoa 20 kama tip ya vijana kumbebea maua. Tumemaliza akasema inabidi twende naye kwake ili tumshushie, tukakubali. Pesa ya maua akasema anaenda kuitoa benki Mlimani City.
Njiani akamwambia dereva wa kirikuu ampe laki 4 akamtumie mkewe akifik Mlimani akishatoa pesa atamrudishia. Dereva akajibu ana laki 2 tu, mshua wa maua akajibu ana laki jamaa akasema agewe tu hiyo hiyo.
Akaomba simu ya mshua wa maua ili atumie kuandika namba pembeni, mshua akatoa. Simu ilikua Hauwei Y6 Pro (at that time ilikua ni bonge la simu). Alivyogewa akashuka akaingia money shop akarudi tukaendelea na safari. Simu hajarudisha hapo
Kisha ikaja mada ya video ya mfanyakazi akimkanyaga mtoto na abuse kibao, mada ilivyopamba moto dereva kirikuu akasema halafu ninayo kwenye simu, mnunua maua akasema hebu nione. Akagewa simu akaangalia kisha akabaki nayo pia. Hii ilikua Tecno sikumbuki aina gani.
Tulivyofika Mlimani jamaa akashuka, akaingia ndani mule watu tukawa nje tunamsubiri. Baada ya muda kupita mshua wa maua akasema ebwana tuingie ndani tumshtue kua muda unaenda, jamaa alisema anaingia CRDB. Wakaingia, baada ya muda wanatoka wanasema mshkaji hayupo.
Kwa jinsi alivyo nadhifu na mchangamfu kumuwazia utapeli haikua rahisi, mshua wa maua akasema pigeni namba yangu, tunapiga simu haipatikani tukajaribu na ya dereva kirikuu ikawa haipatikani.
Jibu tukawa tushapata. Mshua wa maua anataka kumpiga dereva kirikuu akisema kashirikiana na yule bwana. Mwisho kila mtu akaamini kua ndiyo kashalizwa. Dereva kirikuu akasema hapa hapandi mtu gari langu maua yenu nayatupa. Katika ile 20 tukampa 5 ndiyo akakubali kuturudisha kijiweni.
hii kali huyo mzee ni mshua na nusu 😛 😛 😀 😀 😀Mh hawa watu ni hatari.

hiyo inaitwa mnada poa😛😀😀Sifa kubwa ya tapeli ni kukufanya umuamini
Ukishamuamini, umekwisha
Kuna jamaa mmoja from nowhere alifika kwenye mji/nyumbani kwa mtu na kilo ya steki ya nyama, akawaambia watoto (bahati mbaya na mke hakuwepo) kuwa ametumwa na baba "ile" redio kubwa ili aipeleke kwa fundi, baada ya kuona mboga watoto wakamuamini tapeli kuwa kweli ametumwa na mdingi wakampatia redio
Yule tapeli aliondoka na redio mpaka kesho hakurudi
Alinunua music system kubwa kwa kilo moja ya stake ya nyama
Kuna la kujifunza hapa