Soma ujifunze: Jinsi kijiwe changu kilivyosababisha mtu akalizwa 2M na tapeli leo

Nimecheka km fala hadi nliyelala nae anashangaa
 
Dah; maisha haya
 
nimecheka hadi machozi. Matapeli wana mbinu sana.
 
hii kali huyo mzee ni mshua na nusu πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
hiyo inaitwa mnada poaπŸ˜›πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…