Soma unaweza jifunza kitu: Jinsi graduate nilivyopoteza 1.8M niliyoitafuta kwa jasho

Unajua nimeingia huu uzi baada ya kusoma sana juu ya kilimo ndiyo nimekumbuka kwamba nilipanda nyanya, zikasombwa, kwa hasira nikapanda viazi vitamu halafu vilivyochipua sijavirudia tena? Huu unaenda mwaka aisee 🤔
 
Mkuu hapo ofisini kwenu tushtuane tenda nyingne zikitokea ....... hasa za ufundii
 
Unajua nimeingia huu uzi baada ya kusoma sana juu ya kilimo ndiyo nimekumbuka kwamba nilipanda nyanya, zikasombwa, kwa hasira nikapanda viazi vitamu halafu vilivyochipua sijavirudia tena? Huu unaenda mwaka aisee 🤔
Hahaa,pole mkuu
 
Mie sinaga hamu kbs...watu walipata laki 2 na wakati huo mbegu ya kiroba ilikua 60 elfu ..bado vibarua...na wakawa wanachagua mihogo mizr ile midg wanakuambia hatuchuki...unahangaika 9mths unakuja ambulia 200000!!
Maisha haya bn ni safari ndefu sn..alafu mtu akiona umefanikiwa anachukulia powa,alafu Unamwangalia unasema hiiiiiiii...
 
Mkuu vip hizo tracker huwa wanazichomoa kumbe wanafanyaje....??

Woiii, tracker kwenye boda ina faida kwa asilimia chache sana, kwa udogo wa boda lazima mtu akiitafuta aipate, na hizi za kwetu kibongo bongo haiwezi kufanya kazi miezi miwili bila kuzingua, inafika muda unachoka kuiservice mpaka majanga yanatokea.
 
Nenda kwa mganga wa kienyeji
 
Naomba kuuliza swali kutokana na maelezo yako. Kwa nini uliachana na mwenza wako? Hii ni topiki tosha
 
Hizi ni pesa zinatafutwa mkuu. Afya njema ndio mtaji namba moja. Sahau hayo songa mbele,kama hakujatokea kitu
 
Kwenye harakati za utafutaji kupoteza ni sehemu ya maisha.

Jambo la msingi ni kupambana kupunguza risk za kupoteza.

Mimi nilifanya kazi za usiku, nikakusanya zaidi ya 1M nikaenda kulima mihogo huku Kibiti. Haikurudi hata 100.

So, ni kawaida tu.
Vip mkuu nguruwe walikula mihogo?
 
Mkuu, mazingira na muda haukuruhusu basi tu hata nikielezea ilivyokuwa ni kama maajabu yalipangwa kufanyika Siku hiyo.
Nairejesha taratibu lakini bado ni swala limefanya akili yangu isiwe sawa.
Uliibiwa au uliporwa?
 
Pole sana mkuu ila next time tujitahidi kupunguza risks 6M unapanda daladala? Si bora hata uchukue bajaji ama Uber tusilaumu sana ilikua siku yako tu yakufundishwa na ulimwengu. Pole
Sasa Jamaa alikuwa mchumi Sana bas angekodi daladala peke yake
 
Mie niliibiwa kwenye daladala 6.4 M mwezi uliopita tena ya Ofisi, nikitembea nahisi moyo unachomoka nikikaa nahisi hivyo hivyo ni mateso ambayo sijawi kuyapitia toka kuzaliwa kwangu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…