Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,139
- 4,640
Nimesoma mkasa wako mkuu nimeumia Sana kwa jinsi ulivyopambana kutafuta Fedha kiasi hicho (kimsingi ni Jasho lako Hilo) lkn ukaja kuipoteza bila hata ya kufaidi chochote au tuseme kuonja matunda ya Jasho lako ulilolisotea. Pole Sana ndg.
Lkn sambamba na Hilo lazima utoke na funzo baada ya tukio lililotokea kwakuwa kuna baadhi ya vitu havikwenda sawa katika makabidhiano.
1......Ulimkabidhi dereva bila kumjua kiundani Wala kuhisisha mashahidi ambao kwa namna moja ama nyingine wangekusaidia kumpata muhusika.
2...... Unaonekana hukutake time kufanya utafiti wa biashara ya boda boda kuijua kwa undani kabla hujaingia mazima kujihusisha nayo. Hii ingekusaidia kujua jinsi inavyofanyika na jinsi ya kuwapata madereva na kuingia nao mkataba. Jifunze kuifanyia Research kwa undani biashara yoyote kabla ya kuanza kuifanya.
3. Usikate Tamaa mkuu. Hapa lazima ukiri ulifanya makosa na ukubali kuanza upya This Time kwa UMAKINI mkubwa zaidi. Hiyo hela ni kubwa lkn pia ni Ndogo sana. After a while utaipata na Utasahau yote. Chamsingi Forget it but never forget the Lesson you get.