Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen mkuuMungu Ni Mwema Wakati Wote
Wakati Wako Sasa Umefika Utapata Kazi
Kuna Mambo Mengi Sana Yanachoma Moyo, Yanaacha Midomo Wazi Unashindwa Kuzuia MachoziAmen mkuu
Kwenye Uchaguzi Aache Kuchagua Mafiga MatatuUtafika mbali sana ...usijifiche kwa watu ..huwezi jua ukapata connection
Asante sanaUtafika mbali sana ...usijifiche kwa watu ..huwezi jua ukapata connection
Sijui kwanini tunakuaga na mawazo Hasi kwa waliofanikiwa ..hivi huoni inampa Ari mwingine ajie kila kitu kinawezekana?? Mbona mna mind mbovu Sana jamani?una genetics za Kiduku lilo... hakuna asiyependa kujiajiri na kujisimamia, somtmes circumstances zinakuwia vgumu. na kama hujapata kaxhkaxh za kujikwamua kimaixha, umetengenezewa ulaji na kaka au mjomba, You r lucky. Si buxara pia kujibust kwa mafanikio yako mbele ya muhangaikaji, unazidi kumkatisha tamaa.
Kwenye Uchaguzi Aache Kuchagua Mafiga Matatu
Rais, Mbunge, Diwani
Awaache Hawa Hoyee
Kama una connection muunge mwamba hapoNikifikiriaga maisha ya chuo, najiona nilicheza Kama pele. Sijawahi kuonja hata sek 1 ya u-jobless. Nimefika tu home (mkoani kwa broo alipokuwepo, siku hiyo hiyo nikakabidhiwa mradi tuliouanzisha kwa pa1 kipindi nipo miez ya mwisho mwisho ya chuo, nikaanza kazi siku hiyo hiyo, Hadi Leo mm ndo CEO, MANAGER, MSIMAMIZI, n.k wa mradi huo.
Sitafuti hela ya kula, bali hela ya kupiga hatua kimaisha.
Kula, kulala, kuvaa na bill Kama Kodi, umeme n.k Ni uhakika nabak nasotea hela ya kupiga hatua kimaisha.
Asante Mungu Mkuu
Asante mkuuPole sana mkuu na hongera kwa uthubutu, kingine badili jina humu
Kizibo hii comment haikuwa mahali pake.Nikifikiriaga maisha ya chuo, najiona nilicheza Kama pele. Sijawahi kuonja hata sek 1 ya u-jobless. Nimefika tu home (mkoani kwa broo alipokuwepo, siku hiyo hiyo nikakabidhiwa mradi tuliouanzisha kwa pa1 kipindi nipo miez ya mwisho mwisho ya chuo, nikaanza kazi siku hiyo hiyo, Hadi Leo mm ndo CEO, MANAGER, MSIMAMIZI, n.k wa mradi huo.
Sitafuti hela ya kula, bali hela ya kupiga hatua kimaisha.
Kula, kulala, kuvaa na bill Kama Kodi, umeme n.k Ni uhakika nabak nasotea hela ya kupiga hatua kimaisha.
Asante Mungu Mkuu
Kizibo hii comment haikuwa mahali pake.
Yaani unamkuta mwenzako ana njaa ana lia njaa wewe unaanza kusema "mimi sijui njaa ikoje, sijawahi kuwa na njaa, kila siku ni kula bata kwa mbele kila siku kwangu sherehe, hivi hiyo njaa ikoje jamani"
Mtu mzuri ni yule anayejua nini cha kuongea na wapi.
By the way mr CEO ingekuwa vyema ungetoa connection.
Kizibo hii comment haikuwa mahali pake.
Yaani unamkuta mwenzako ana njaa ana lia njaa wewe unaanza kusema "mimi sijui njaa ikoje, sijawahi kuwa na njaa, kila siku ni kula bata kwa mbele kila siku kwangu sherehe, hivi hiyo njaa ikoje jamani"
Mtu mzuri ni yule anayejua nini cha kuongea na wapi.
By the way mr CEO ingekuwa vyema ungetoa connection.
PHASE 3…........…PHASE......01
Nina swali moja
Hizi ishu zote unazofanya kusomesha tuition, kubeba mchanga kuna lengo umeliweka mf:- tuition kuja kufungua shule yako/kutafuta Mtaji wa kufanya kitu au unafanya kwasababu ndio ujapata hiyo ajira.
PHASE..........02
AJIRA jina kubwa linalotisha likitamkwa ila si kwakila mtu, muhasibu, HR, Doctor, Engineer and something like wana haki yakupaza Title ya ajira kuwa yenye kutisha ikitajwa kwasababu ILA si kwa mwalimu....mwalimu mwalimu.
PHASE................03
Degree zinawaaibu sana Graduates, walioishia lasaba wanaona wakishindwa maisha sawa ila wakimuona Graduate kashindwa maisha hawamuelewi wanampiga pressure za kila namna I.e kasoma lakini anamaisha kama sisi.
Jina hilo linatumika tu humu JF lakini halina uhalisia na maisha yakeSasa unajiita ndondocha inategemea nini, endelea tu kufanya kazi za watu.......badilisha jina hilo kwanza