Soma upate mawili matatu: Mhitimu mambo ninayopitia kipindi hiki katika harakati zangu

Sijui kwanini tunakuaga na mawazo Hasi kwa waliofanikiwa ..hivi huoni inampa Ari mwingine ajie kila kitu kinawezekana?? Mbona mna mind mbovu Sana jamani?
 
Kama una connection muunge mwamba hapo
 
Kizibo hii comment haikuwa mahali pake.

Yaani unamkuta mwenzako ana njaa ana lia njaa wewe unaanza kusema "mimi sijui njaa ikoje, sijawahi kuwa na njaa, kila siku ni kula bata kwa mbele kila siku kwangu sherehe, hivi hiyo njaa ikoje jamani"

Mtu mzuri ni yule anayejua nini cha kuongea na wapi.

By the way mr CEO ingekuwa vyema ungetoa connection.
 

SAA ingine nikiona wanafunz wanaenda shule, mm naona kama wanaenda kupoteza muda, kwasababu ajira Hamna, sema ukiongea ukweli huo humu jf watu wataanza kukupa pole kwa unayopitia amu
 


Mkuu naona Ni Kama una stress. Umesoma comment vzr wewe?? Nimesema na mm Ni graduate, sijaonja hata sec. 1 ya u-jobless kwa sababu nilikuwa mwoga wa maisha Baada ya chuo, nilichokifanya nikajichanga kwa kujinyima ili nitoke na mtaji wa kunzia maisha.

Mkuu utakuta eti na wewe una demu?? Una mmomonyoko wa ubongo mkuu
 
PHASE 3…........…

Hao ndio wanafanya magraduate wengi wanajifungia ndani...............

Au labda mtu ahame mkoa aende mbali aanze upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…