Soma upate mawili matatu: Mhitimu mambo ninayopitia kipindi hiki katika harakati zangu

Mwaka Wa Uchaguzi Huu Usilaumu Kila Mtu Wengine Ni Wa Tia Nia Huko Na Mambo Mengi Sana Bado 😀😁😂
 


Ona hii kunguni!!!!!

Nyie ndo wale mnaokaa mnasubiri miujiza!! Mkuu labda tu nikwambie,NILIANZA KUTOAMINI KATIKA VITU KAMA NYOTA, MIUJIZA, SIJUI BAHATI nikiwa chuo Baada ya kuanza Kusoma vitabu, nikakutana na hii statement iliyobadilisha maisha, naomba kkunukuu

"There is a law of cause and effect. Nothing happens by chance or miracle. Every thing that happens has it's cause. Even those things you see as miracles it is because their causes are beyond your understanding and consciousness. So if you want something to happen, make sure you you cause them to happen, and those who will see the results to your causes will consider you to be lucky"

Mkuu ujue kuwa nilijichanga Sana na Yale maboom, nilikuwa naishi maisha Yale kuonekana HUNA SWAGA, nimekula Sana mihogo ili tu nisave hela. Hivi unapoambiwa kujichanga unaelewa??
 
Ni kweli mkuu. Sasa mheshimiwa, Mkurugenzi, mkuu na CEO je kwenye kampuni yako kuna kazi hapo watu tuje kuomba?
Naomba msaada wako mkuu 🙏🏾🙏🏾
 
[emoji1787] [emoji1787] Maandishi yako yanaonyesha jinsi ulivyo.
Asubuhi njema ndugu mkurugenzi.
 
Watu tumetifautiana mkuu binafsi napenda nikutane na watu successful Tena aelezee mafanikio yake kwa kujiamin kabisa kuonesha unachofanya kinamaanisha...! It motivates alot...kwanini wewe uweze Mimi nishndwe..lakini kila mtu ana perception zake aise..Kuna mwamba humu anaitwa graph. .anajiamini had unahisi wapi Mimi nakosea,..u go boy! Congraturation
 
Umeandika points tupu mkuu, ila sema huo uandishi wako kwa kijana kabisa sio sahihi
 
Una haki ya kumshukuru Mungu mkuu na kumtolea sadaka iliyo kuu hata kwa kuwakumbuka watu wenye mahitaji maalumu, hustle ya mtaa kwenye kutafuta kazi na maisha kwetu wengine sio ya kawaida aise.
 
Kujichanga naelewa sana mkuu tena kwa maisha ya chuo
 
kwa sasa wanafunzi wamerudi mashuleni, je unawaza tena kurudi kwenye kufundisha tuition?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…