Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
Hiyo nadhani itakuwa baadae sana.Tunasubiri ile sarafu ya afrika mashariki.
Migogoro ipo Burundi, DrC na Rwanda, Rwand na Uganda...Hao jamaa wasije kwenye hii jumuiya... Wataleta matatizo
Migogoro ipo Burundi, DrC na Rwanda, Rwand na Uganda...
Mgogoro huu hautakuwa wa kwanza na wamwisho, pia kuna migogoro Sudan Kusini lakini kapewa uanachama...
Kwann Somalia wasipewe?
Maswala ya dini ni maswala yao ya ndani...Migogoro ya Burundi na Rwanda siyo ya kidini.
Ila migogoro ya Somalia ni migogoro ya kidini.
Na ukumbuke dini yao wanataka kila mtu afuate sheria zake.
Sikatai Somalia kujiunga EAC ila nimetoa mawazo tu kulingana na komenti yako.
Dada punguza makasiliko... na aliye pendekeza kujumuishwa kwa Somalia ktk Jumuiya ni Kenya ambayo yeye yupo krb nao zaidi na migogoro anayo yeye kwa ukaribuHkn wakatengeneze jumuiya yao
Hahahahaha ww dada wewe.Waje tu tutafune gomba, maisha ndio haya haya
Unaweza fananisha migogoro ya huko na ya Somalia... Yaani Al Shabaab ambao wanaingia hadi kenya..?Migogoro ipo Burundi, DrC na Rwanda, Rwand na Uganda...
Mgogoro huu hautakuwa wa kwanza na wamwisho, pia kuna migogoro Sudan Kusini lakini kapewa uanachama...
Kwann Somalia wasipewe?
Level ya migogoro hizo nchi ulizotaja zinaendeka kwa urahisi hata kibiasharaMigogoro ipo Burundi, DrC na Rwanda, Rwand na Uganda...
Mgogoro huu hautakuwa wa kwanza na wamwisho, pia kuna migogoro Sudan Kusini lakini kapewa uanachama...
Kwann Somalia wasipewe?
Tutalipuana kishenziWazee wa milipuko kazi tunayo.