Mkuu unawaogapa niniKwani upande ule wa juu hakuna jumuiya wajiunge nayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unawaogapa niniKwani upande ule wa juu hakuna jumuiya wajiunge nayo
Wazee wa milipuko kazi tunayo.
Mm nitadil na wanawake tu wakisomali tu
Uko sahihi mkuu, yaani wanachama wanakua wengi kwa kasi bila hata kuangalia mafanikio ya wanachama waliopo kwanza. Sasa Somali ya nini kwenye umoja huu! Iko siku na Afghanistan watajiunga pia japo wapo huko mbaliHii juimiya inaenda kasi kwenye kuongeza wanachama kuliko kasi ya utekelezaji wa msingi wa mambo ya kutuunganisha. Nchi zikiwa nyingi bila waanzilishi kuwa na bond ya kutosha itayumbisha umoja mapema.
Tatizo hili la uelewa...Unaweza fananisha migogoro ya huko na ya Somalia... Yaani Al Shabaab ambao wanaingia hadi kenya..?
Jiulize kwann mataifa bado yana fanya uwekezaji somalia pamoja na migogoro?L
Level ya migogoro hizo nchi ulizotaja zinaendeka kwa urahisi hata kibiashara
Balozi za nchi zipi?Jiulize kwann mataifa bado yana fanya uwekezaji somalia pamoja na migogoro?
Kwann balozi zina funguliwa kila leo pamoja na migogoro iliyopo Somalia?
Maneno yasiwe mengi... Kiufupi hao Somalia hatuwataki kwenye jumuiya yetuTatizo hili la uelewa...
Juzi nazani, DRC walishutumu Rwanda kuingia ktk misitu ya kongo na kuchukua sokwe na kuwapeleka ktk hifadhi za Rwanda, DRC wana washutumu Rwanda kuingia DRC na kuchukua mali pamoja na kuanzisha vikundi vya fujo
Juzi umoja wa mataifa kupitia shirika la wakimbizi limetangaza DRC kuna wakimbizi wengi wa ndani wanao kimbia maeneo yao asilia kwa sababu ya mapigano
Unaongea vitu vingi kwa masimulizi... ila hutaki kuona matatizo hayo yana koma
DRC kuingia kwenye jumuiya moja kwa moja swala lake la utulivu na amani lina anza shughulikiwa kikamilifu na jumuiya kama mwanachama
Angalia Somalia pia atasaidikaje ili jumuiya inufaike pia
Jtahidi kufahamu maswala ya kimataifa
haitafika. EAC inaweza ikasambaratika si zaidi ya miaka 20 ijayo. There is no common agenda na kila nchi inamtazama mwenzake kimachale tofauti na EU. Ukiangalia EAC imekaa kama nchi za Southern Asia ambazo kuna India na pakistani +bangladeshi.Tunasubiri ile sarafu ya afrika mashariki.
Hata mgogoro wa Somalia sio wa kidini,mgogoro wa Somalia ni wa kiutawala zaidi kwamba kuna koo zinataka zitawale ile nchi ndio maana kuna migogoro kila siku... asilimia 99 ya wasomali ni waislamu na nchi tayari inaendeshwa kwa sharia sasa huo unaosema wewe ni mgogoro wa kidini ni baina ya dini gani na dini gani??..Mwanzoni kabisa kipindi kile Somalia inang'aa kama dubai kabla ya kuharibiwa hasa na Mohamed Farrah Adid Alshabab waliraise kwa lengo moja tu la kuondoa utawala koo kandamizi zilizokuwa zinatawal nchi hiyo na hata sasa kuna maeneo wanayashikilia wanayatawala lakini lengo sio kulazimisha dini maana Somalia tayari ni nchi inayoongozwa na sharia za kiislamuMigogoro ya Burundi na Rwanda siyo ya kidini.
Ila migogoro ya Somalia ni migogoro ya kidini.
Na ukumbuke dini yao wanataka kila mtu afuate sheria zake.
Sikatai Somalia kujiunga EAC ila nimetoa mawazo tu kulingana na komenti yako.
Hatutaki migogoro ya zaidiMigogoro ipo Burundi, DrC na Rwanda, Rwand na Uganda...
Mgogoro huu hautakuwa wa kwanza na wamwisho, pia kuna migogoro Sudan Kusini lakini kapewa uanachama...
Kwann Somalia wasipewe?
Kenya mwisho wa siku atataka swala la kupambana na Al Shabab liwe la Jumuiya. Utaratibu ulipaswa uwe kuwa, nchi hairuhusiwi kuwa mwanachama kama ina matatizo ya ndani.Dada punguza makasiliko... na aliye pendekeza kujumuishwa kwa Somalia ktk Jumuiya ni Kenya ambayo yeye yupo krb nao zaidi na migogoro anayo yeye kwa ukaribu
Kwann sisi watanzania tuogope... Uganda nae akapendekeza.... na ndio maana walialikwa ktk kikao cha kumkaribisha DRC
Sisi waoga, subirini mambo ya kuondoa mipaka na ajira za pamoja... mchangamke vizuri wakenya wame kuja kununua na kufanya ufugaji wa kuku na maguruwe pamoja na mashamba ya miti na maparachichi
Nyie pigeni kelele tu ambazo hazina mashiko
Na nchi ikiwa na matatizo ya ndani kama ya Kisiasa Au mkiru Au ile ya pale kenya mungiki nk basi iondolewe ktk jumuiya...Kenya mwisho wa siku atataka swala la kupambana na Al Shabab liwe la Jumuiya. Utaratibu ulipaswa uwe kuwa, nchi hairuhusiwi kuwa mwanachama kama ina matatizo ya ndani.
Nashangaa wengi wanapiga kelele na bla bla nyingi wakati jumuia yenyewe ni kama haipo. Wangeimarisha kwanza nchi waasisisi wa jumuia Kenya, Uganda na Tanzania ziunde jumuia ya kweli ndiyo wafikiri mambo ya kuongeza wanachama. Jumuia iliyojengwa kwenye ushirikiano wa uchumi na demokrasia ya kweli. Diktekta Museveni aweke ukomo kwenye vipindi vya uongozi. Wajiwekee misingi imara ya demokrasia ambayo kila mwanachama atalazimika kuifuata na pale anapofanya makosa aonywe.Hii juimiya inaenda kasi kwenye kuongeza wanachama kuliko kasi ya utekelezaji wa msingi wa mambo ya kutuunganisha. Nchi zikiwa nyingi bila waanzilishi kuwa na bond ya kutosha itayumbisha umoja mapema.
China 🇨🇳Balozi za nchi zipi?