Somalia kuwa mwanachama wa Afrika Mashariki

Somalia kuwa mwanachama wa Afrika Mashariki

179B895B-9CC6-4BF5-9947-8CF69D72E718.png


2A1F5C65-7DED-46E3-9C0A-723F903675B6.png


B306B4E0-1D3C-4AC2-BCF6-9ECC9434FC61.png


Endeleeni kuiona somalia ni nchi isiyo na malengo yani ipo ipo tu... ipo siku mtashangaa zaidi na zaidi
 
Ila wasomali wanapenda kujikutaga sio waAfrica kabisa kama wenzao Waarabu koko wa huku haha!!!
 
Kabla hatujaongelea manachama wapya, ni Nini mafanikio, changamoto na fursa za hii jumuiya Kwa Hawa wanachama waliopo Sasa hivi? Tujikite kuangazia manufaa kwa wananchi zaidi bila kuegemea upande wa kisiasa sana.
 
Mkuu kwani uafrika ni ngozi/race au location unayotoka? Je ngozi/race ya msomali au mu Ethiopia ni sawa na mtu wa Ghana au Kenya? Je mzungu akizaliwa Africa anakuwa Mwafrika au anabaki kuwa mzungu? Definitely anabaki kuwa mzungu kwa sababu ya ngozi/race yake so basi hata wasomali siyo lazima wawe waafrika eti kwa sababu tu wanatoka bara la Africa
Ila wasomali wanapenda kujikutaga sio waAfrica kabisa kama wenzao Waarabu koko wa huku haha!!!
 
Back
Top Bottom