Somalia, nchi inayopiga marufuku kusherehekea Krismas, yapanga kuomba kuingia EAC



Uchina mbona imepiga marufuku Krismasi na mnaenda huko?
 
You see my point? They are trying to accommodate non christians and christian non believers in their salutations.......lakini nyie you are intolerant of others. You want to impose yourselves. See the difference?
But this is not because eti hao wanaoambiana happy holidays sio Christians au kwamba ukristo uko on the decline. That would be a wrong assumption.
 


Unaposema nyie unamaanisha nini? Mimi siyo Msomali, ila nimekupa ukweli wa mambo, wakisema kupiga marufuku Krismasi haimaanishi kwamba Wakristo hawawezi kuishi Somalia hapana, ni kwamba Somalia kama nchi haitambui Krismasi kama zilivyo nchi nyingi tu, kwa mfano Uchina haitambui krismasi lkn mbona kuna Wakristo wengi tu wanaishi Uchina? Saudi Arabia haitambui Krismasi lkn kuna Wazungu wengi wanafanya kazi Saudi Arabia bila ya tatizo lolote, hivyo tena kwa kuwa Somalia ni 98% Waislamu ni sawa wanaposema Somalia hakuna sherehe ya Krismasi lkn haimaanishi kwamba Wakristo hawawezi kuishi Somalia!
 
Hata mm nikijakuwa raisi wa zanzibar napiga marufuku Xmas
 
Wonders will never end from the other side, the question to ask here is, are we Christian Country? Christianity is one of the vital Criteria to be enrolled as member?
Issue ni freedom of worship, religious tolerance.
 


100% nakubaliana na wewe, watu wengi sana wanaongelea kuhusu East Afrika lkn hawaelewi Historia ya EA, nchi ya Somalia pmj na Ethiopia ndiyo original East African countries zinazojulikana Duniani kihistoria, Somalia imekuwa EA kabla hata ya Dunia kujua kuna TZ, Kenya au sijui Uganda na Burundi!
 
[emoji817] [emoji817] [emoji109]
 
Kwanza wasomalia 100% ni waislam wamadhebu ya sunni na niwanachama wa jumuia ya nchi za kiislam na mwanachama wa nchi za kiarabu na ijumaa ndio siku ya mapumziko kwa wiki.
Basi somalia haijawahi kusherehekea Christmas toka taifa hilo liundwe, kwa hivo kupiga marufuku siyo kosa kwa kuwa wao ni taifa la kiislam.
Kuhusu kuomba kwao kujiunga JUMUIA YA EAST AFRICA, kwa kuwa tu wamepiga marufuku sherehe za Christmas, hawawezi wakataliwa kawa kuwa, JUMUIA YA EAST AFRICA, SIO TAASISI YA KIKIRISTO .
.
 
I see nothing here that warrants kupiga marufuku hao wakristo wachache walioko huko kusherehekea Krismas.
Kupiga marufuku krismas sio kigezo cha kuingia EAC lakini granting your citizens freedom of worship ni kigezo!
 
That's the reason we keep saying again and again that Muslim(s) are devil worshipers [a sect that advocate satanism] because they don't allow diversity, the always think of ethnic cleasing.
Unaweza kutoa uthibitisho??? Acha kuropokwa kwa mihemko...
 
We just admitted an unstable country in the name of S.Sudan to EAC, it is unwise to admit another unstable country in EAC. It will interfere with the delicate balance there's in the region.

The other thing that will interfere and tip the proper political balance in EAC is consecutively admitting two northern states. A state from a different region should be admitted before Somalia is admitted. Like from the west or south. Remember Sudan wanted to be in EAC like yesterday and has a right of admission given that now they share a border with EAC.

Having regional political balance in EAC is important for the progress and viability of EAC.
 
Hii habari ya political inbalance mara unstable country , mara different region huna point unachachawa tu kwani lazima kuandika?hebu review conditions za kujiunga na bloc kwa ndio upayuke kama ni krismas kila nchi ina katiba yake na sheria zake za ndani as long hawajavunja katiba ya bloc mm sioni tatizo tusitoke mapovu bure .
 
Mm nadhani wakikubaliwa kujiunga itakuwa nafasi nzuri sana kwao kuteka mabasi na kuuliza wasafiri kama ni dini gani na hapo ndiyo tutajua wasomali na akina nani! It's a matter of time.
 
Waambie hivo wale waislam wanaoambiwa ujerumani wasivae hijab alafu wanalalamika. Kwani ujerumani haina mila na desturi zao?
 
We should drop some members before accepting others.

EAC was not ready for S. Sudan... Rwanda and Burundi were to be on probation period.
 

Impossible!! haiwezekani and it will never happen since this country and its rulers are anti Christianity!!!!!! Possibly till 2095 when the current hateful, anti Christianity generation is extinct.
 
Waje wote tu, hata batoto Bakongo (DRC) wamekawia sana..
Krisimasi isiwe issue, binafsi nimesheherekea Krisimasi Zanzibar na hofu niliyokua nayo ya kumwagiwa tindi kali ikatokea kuwa ujinga wangu tu maana Wazenji ni watu wakarimu sana. Pia wao wameserebuka sana kwenye Krisimasi.

Wasomali ni watu wenye bidii sana, napenda wanavyojituma, haya masuala ya dini ndio yanawaangusha na kuwachelewesha. Yaani dini inafaa kuleta amani lakini inakua ndio chanzo cha mauaji na mateso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…