Somalia ndiyo nchi pekee duniani ambayo ni 'failed state'

Tena nchi nzima ni dini Moja ya mnyasanzi, ya amani yenye kitabu kimoja ambacho huitaji kusoma linguine. Ukikimsliza unakuwa Mwalimu, daktari( wa kisuna) nk
 
Kwa kuwa imekataa kutawaliwa na wazungu.

Wenyewe wana maisha yao, kwanini wawaingilie?
 
Hazina kubwa ya mafuta ambayo hayajaanza kuchimbwa bado,na Kenya anailaumu Somalia kuwa imeiuzia UK eneo la mpakani la upande wa baharini ambako kuna hazina kubwa ya mafuta(kwa mujibu wa DW Swahili)
 
Hazina kubwa ya mafuta ambayo hayajaanza kuchimbwa bado,na Kenya anailaumu Somalia kuwa imeiuzia UK eneo la mpakani la upande wa baharini ambako kuna hazina kubwa ya mafuta(kwa mujibu wa DW Swahili)
Wakati huo huo wamewapa waturuki
 
Vipi kuhusu Yemen?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…