Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Baada ya nchi ya Somalia kujiona msichana mrembo na kuturingia na hata kukata uhusiano kati ya nchi hizi mbili, wao wao wenyewe wamerudi mezani bila sisi kuwaita. Wamejua hawajui. Hii ni nchi ya hovyo sana. Sawia na msichana sura mbaya anayeringia wanaume ilhali wanaume hawana haja na yeye.