Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
- Thread starter
- #21
Crashes hizo zilifanyika wakati Marekani bado alikuwa Somalia. Ethiopia alitungua ndege wakati Marekani bado alikuwa Somalia. Nimekuambia hujui unachozungumzia. Mambo haya ya kijeshi naona hayaelewi.Teh najua mna airforce yenye ndege chakavu na incompetent service men. Jamaa yenu US alikuwa anawasaidia Sana kwenye aerial surveillance na drone attacks.
Mngekuwa njema angani hizo crash zingekuwa chache na Ethiopia asingeweza kutungua tu hizo flying coffins apendavyo.