Somalia restores diplomatic relations with Kenya

Serikali yenu ilishakiri wazi kwamba magaidi kutoka Mozambique walivamia Mtwara na kuuwa watu kadhaa na kuteka watu nyara. Sasa wewe ni nani upinge serikali yako?
Ilikiri wapi? Na watu wangapi walitekwa? Sasa mtwara na Mozambique wapi Kuna hali tete ya usalama? Kule kwenye hali mbovu investors wanakimbia... Kwenye hali nzuri ndio pesa inakwenda..
 
Vyovyote utakavyofanya. Mimi ninachotaka proof. If you don't have any proof shut up your fvckn mouth.
Halafu matusi ni utoto. Wachia watoto wako waendelee kutoa matusi. Wewe ni mtu mzima unastahili kuwa na staha.
Umeitisha evidence. Ndio hapa. Sasa nangoja uipinge kama kawaida yako. Huwezi kubali evidence yoyote unayopewa maana una mazoea ya kukataa kukubali evidence. Ninajua tabia yako vizuri sana.

Mdomo ndio wako nayo kubwa na wana ndege 32 pekee kwa airforce yao wakati Kenya airforce ina ndege zaidi ya 150. Na bado wanataka kuringa.
Wachana nao kwanza wanamgambo wa Mozambique wakijipanga wajoin international Rebel armies Kama Alkaida,TZ itatuitisha Usaidizi kwa kutubembeleza😃Untill then,They will only know their Country Defence is a Shit hole its self from a Very Big Shit Hole Country🤣🤣🤣🤣
 
Ilikiri wapi? Na watu wangapi walitekwa? Sasa mtwara na Mozambique wapi Kuna hali tete ya usalama? Kule kwenye hali mbovu investors wanakimbia... Kwenye hali nzuri ndio pesa inakwenda..
Kwa hivyo unapinga kwamba serikali yenu ilikiri kwamba magaidi walivamia Mtwara? Unataka nikuletee evidence? Naweza leta evidence ila utapinga. Watanzania mna tabia mbaya sana ya kupinga evidence mnapoletewa evidence.
 
Wewe jifunze kusoma na kuelewa.. Usitake kutafuniwa tu. Achana na propaganda.
 
Halafu matusi ni utoto. Wachia watoto wako waendelee kutoa matusi. Wewe ni mtu mzima unastahili kuwa na staha.
Umeitisha evidence. Ndio hapa. Sasa nangoja uipinge kama kawaida yako. Huwezi kubali evidence yoyote unayopewa maana una mazoea ya kukataa kukubali evidence. Ninajua tabia yako vizuri sana.

Mzee unaniletea video!? Umekosa taarifa za kunipatia!?
 
Wewe jifunze kusoma na kuelewa.. Usitake kutafuniwa tu. Achana na propaganda.
Propaganda ambayo serikali yenu imekiri? Kwa hivyo serikali yenu ndio inasambaza propaganda kupitia polisi ambao walikiri kwamba uvamizi huo ulifanyika? Simon Sirro Inspector general wa polisi basi anasambaza propaganda.

Militants from Mozambique staged deadly attack in Tanzania, police say​

George Obulutsa

NAIROBI (Reuters) - About 300 militants from Mozambique attacked a village in southern Tanzania and killed an unknown number of people last week, Tanzania's top police officer said, describing an attack claimed earlier by the Islamic State.
Inspector General of Police Simon Sirro said militants attacked the village of Kitaya in Tanzania's rural Mtwara region bordering Mozambique.
"Terrorists numbering 300, coming from Mozambique, attacked our station and the village of Kitaya, and committed crimes and they killed," Sirro said in an interview with Azam TV, a private Tanzanian chain, broadcast late Thursday.
ADVERTISEMENT

Mzee unaniletea video!? Umekosa taarifa za kunipatia!?
Pinga hii nayo kama ulivyozoea kupinga.

Ethiopian troops admit shooting down Kenyan plane​

Saturday May 09 2020​

Soldiers say they suspected aircraft was on suicide attack mission at the airstrip.

By AGGREY MUTAMBO
More by this Author

IN SUMMARY​

  • The aircraft, 5Y-AXO, had actually been permitted by the Somali Civil Aviation Authority to fly from Mogadishu to Baidoa and back, a 600km round trip.
  • Ethiopian forces claim they had no communication.
  • The incident has touched off a political spark in Somalia especially among leaders opposed to Ethiopia’s ventures.
Advertisement
Ethiopian forces in Somalia have admitted to shooting down a Kenyan cargo plane on Monday, leading to six deaths, on ‘mistaken identity’.
A preliminary report filed by the African Union Mission in Somalia (Amisom) indicated that the forces guarding Bardelle airstrip in Baidoa adjudged the plane’s unusual flight towards the facility as a potential suicide mission.
But the revelations that that the troops on guard at the facility were non-Amisom members of the Ethiopian National Defence Forces (ENDF) could raise legal questions on their presence in Somalia.
A report filed by the Sector III Force Commander of the African Union Mission in Somalia said the troops at Bardelle, some 300km northwest of Mogadishu were unaware of any incoming civilian flight at the time.

Ethiopia imeangusha ndege za Kenya mara nne.
 
Hakuna ndege hata moja ya kdf iliyoangushwa. It is up to you to prove kwamba Ethiopia imeangusha ndege za kdf. Hayo ni madai yako na ni jukumu lako kuleta ushahidi wako. Mimi nitakubali hata video sio lazima ulete article ya gazeti. Tafuta evidence yoyote ulete nitakubali, mimi huwa sipingi evidence.
 
Toys aka Fighter jet za Kenya
View attachment 1777041
Tangu lini hizi attack choppers zikawa fighter jets we IT expert uchwara? Kenya ina 'functional' airforce, wanazo chopper kama hizo carriers pia, fighter jets n.k. Waulize wasomali wa Afmadow, wanaujua vizuri mziki wa KAF.
A-Makeshift-Al-Shabaab-Camp-Destroyed-by-KDF-Fighter-Jets-in-Gedo-Region-Somalia.jpg
 
Mzee unatuonesha ndege za 1965s, F-5
Zinaweza kutunguliwa na rungu la kipepe.
 
Hakuna ndege hata moja ya kdf iliyoangushwa. It is up to you to prove kwamba Ethiopia imeangusha ndege za kdf. Hayo ni madai yako na ni jukumu lako kuleta ushahidi wako. Mimi nitakubali hata video sio lazima ulete article ya gazeti. Tafuta evidence yoyote ulete nitakubali, mimi huwa sipingi evidence.
Unabisha nikuletee ushahidi!?
 
Tangu lini hizi attack choppers zikawa fighter jets we IT expert uchwara? Kenya ina 'functional' airforce, wanazo chopper kama hizo carriers pia, fighter jets n.k. Waulize wasomali wa Afmadow, wanaujua vizuri mziki wa KAF.
A-Makeshift-Al-Shabaab-Camp-Destroyed-by-KDF-Fighter-Jets-in-Gedo-Region-Somalia.jpg
Ndege Kama hizo watajua Tuko nazo Ile siku Nchi Hodari itajitolea kupigana na Kenya Army VS Army apo Ndio watajua Kenya sio mchezo.Somalia ilikua imejitolea kinagaubaga Lakini they feared to make a move,wanajua tutawafyeka Kama TakaTaka
 
Mzee unatuonesha ndege za 1965s, F-5
Zinaweza kutunguliwa na rungu la kipepe.
Sema 1965 na ikipitia Kijiji yenu inaungua yote😛Unathani hatuna zingine,mpaka Juzi tulienda kutest Jet ingine mpya ambayo sijui Tutanunua Ngapi,SiSi Kenya mahali Tumefika next step Itakuwa kununua Submarines za Vita,Just wait🙏🇰🇪🔥🔥
 
Hayo tunayatungua na rungu. Hakuna kitu hapo ni makopo yanayotoa moto.🤣🤣🤣
 
East Africa should do a joint purchase of Submarines,No one will dare us,A danger to Kenya is a danger to Tanzania,we are twins brothers if you don't know
 
Back
Top Bottom