Somalia wapiga marufuku Sambusa

Somalia wapiga marufuku Sambusa

Hili swali langu ni miaka sasa hutaki kujibu unavamia biblia tu , jibu kwanza ya mtume wako ndio uje kwenye biblia

Kwa Nini Allah alichagua mtume kutoka watu wa motoni?

Muhammad anatoka katika ukoo wa motoni hell fire tuanze hapa kwanza

A man asked : where is my father, Messenger of Allah? He replied! Your father is in Hell. When he turned his back, he said : My father and your father are in Hell.Sunan Abi Dawud 4718

Ikiwa mungu wako amekwenda motoni jee viumbe wake wende wapi ?

images
 
Ni sawa lakini kuna makatazo kwetu kutumia biblia kwasababu hatujui la usahihi na la uongo kwa kule kubadilishwa mno vitabu vilivyotangulia.

Tutosheke mkuu wangu na quran iliyohifadhiwa kutokana na mikono ya watu waovu.

Ni aya gani imetukataza kutumia biblia ?? Kwani biblia ni kitabu cha nani ?

Kuna njia mbili zinazoweza kupitiwa ili kuufikia utambulisho wa Yesu Kristo na yaliyomo katika ujumbe wake.

Ya kwanza inaangazia makusanyo ya rekodi za kihistoria za wanahistoria wa kisasa kutoka katika maandiko na masalio ya kipindi hicho na ya pili inaangazia ripoti zilizomo katika Maandiko ya ufunuo. Kwa ukweli, kuna ushahidi mchache mno unaotufahamisha kuwa Yesu alikuwa ni nani, au unaobainisha ujumbe wake ulikuwa ni nini.

Nyaraka rasmi za kihistoria za kipindi hicho kwa hakika hazina rekodi yoyote juu ya Yesu. Msomi wa Biblia, R.T. France, anaandika,

"Hakuna andiko lolote la karne ya kwanza linalomtaja Yesu na hakuna kitu chochote au jengo lolote lililobakia na ambalo lina uhusiano naye."

Ukweli huu umewafanya baadhi ya wanahistoria wa Kimagharibi kukosea na kudai eti Yesu Kristo wa hakika hajapatapo kuwepo.

Kwa hiyo, kimsingi, utafiti lazima uegemee maandiko matakatifu yanayoeleza haiba na kazi za Yesu Kristo.

Maandiko matakatifu yatakayoulizwa ni yale yanayotambulikana kirasmi na dini zote mbili Ukristo na Uislamu.

Hata hivyo, kuchambua barabara, maelezo yaliyomo katika maandiko ya kidini, ni jambo la msingi kuanzia na kupima usahihi wa maandiko hayo.

Je, vitabu vya dini ni vyanzo vya kuaminika kuwa nyaraka za ushahidi, au ni ubunifu wa simulizi za kibinadamu na visaasili, au ni mchanganyiko wa yote mawili?

Je, Biblia, Agano la kale na Jipya ni maandiko ya ufunuo wa Mungu?

Je, Quran (Kurani) ni sahihi?

Kwa Biblia na Quran ili ziwe maneno matakatifu ya Mungu, lazima ziwe hazina kujipinga zenyewe kusikofafanulika, na kusiwe na shaka juu ya yaliyomo ndani yao wala juu ya watunzi wake.

Ikiwa hii ndio kadhia, basi yale yaliyomo katika Agano la kale, Jipya na Quran, ndipo yatakapozingatiwa kuwa ni vyanzo aminika vya maelezo yanayohusiana na ujumbe Yesu Kristo na haiba yake.
 
Ikiwa mungu wako amekwenda motoni jee viumbe wake wende wapi ?

images
Hili swali langu ni miaka sasa hutaki kujibu unavamia biblia tu , jibu kwanza ya mtume wako ndio uje kwenye biblia

Kwa Nini Allah alichagua mtume kutoka watu wa motoni?

Muhammad anatoka katika ukoo wa motoni hell fire tuanze hapa kwanza

A man asked : where is my father, Messenger of Allah? He replied! Your father is in Hell. When he turned his back, he said : My father and your father are in Hell.Sunan Abi Dawud 4718
 
Hili swali langu ni miaka sasa hutaki kujibu unavamia biblia tu , jibu kwanza ya mtume wako ndio uje kwenye biblia

Kwa Nini Allah alichagua mtume kutoka watu wa motoni?

Muhammad anatoka katika ukoo wa motoni hell fire tuanze hapa kwanza

A man asked : where is my father, Messenger of Allah? He replied! Your father is in Hell. When he turned his back, he said : My father and your father are in Hell.Sunan Abi Dawud 4718

Ikiwa mungu wako kajitia motoni ,viumbe wake watakwenda wapi ?

1673281746190.png
 
Pole sikuelewa nlijua unanielewesha...

Mimi? Nikafe? Somalia? Niliwe na kunguru? No thanks...... twenzetu Sitimbi.....
Nikwambie nini sweetheart, tumekuwa tukipokea habari mbaya zinazohusi Somalia miaka kwa miaka, kumbe they have got their good side na maendeleo nchini mwao yakuigwa mfano hata na serikali yetu ya Tanzania.
Jaribu kutembelea somalia Urbanization Review uone jinsi walivyo na mipango halisi ya kimaendeleo
 
Sitimbi tumepazoea mpenzi, labda kidogo ungesema Gambosh Bariadi tukajionee wengine wasioyaona kwenye ulimwengu wa kawaida😊
 
Nikwambie nini sweetheart, tumekuwa tukipokea habari mbaya zinazohusi Somalia miaka kwa miaka, kumbe they have got their good side na maendeleo nchini mwao yakuigwa mfano hata na serikali yetu ya Tanzania.
Jaribu kutembelea somalia Urbanization Review uone jinsi walivyo na mipango halisi ya kimaendeleo
Mi babe hata tusiende mbali hata wapange nini mie siendiiiiiii.... i have been to Kenya wakati alshabab wanapiga matukio aiseeee acha
 
Ohooooooo utanitoa sadaka wewe
Hahaha nitaanzaje mamii? Unataka niishi kwa majuto na bila furaha maisha yangu yote? Maana sitakuona tena wakati binafsi nataka kila nikigeuka nikuone, nikikuwaza tu, sauti yako nyororo nijisikie ikipenya kwenye mboni za masikio yangu, nikichoka nipate bembelezo na faraja toka kinywani mwako.
Chagua twende wapi ili niitimize ile furaha yako mamii🥰🥰
 
Basi babe usiongee yote watakuiba hun..... tutapanga mi na wewe tena kipenzi changu....😘😘😘😘
 
I
Mi babe hata tusiende mbali hata wapange nini mie siendiiiiiii.... i have been to Kenya wakati alshabab wanapiga matukio aiseeee acha
I can imagine how shocked you were. You will never experience such a thing again baby, I will take you to the very peaceful place on Earth next time.
 
Basi babe usiongee yote watakuiba hun..... tutapanga mi na wewe tena kipenzi changu....😘😘😘😘
Yeah maana wezi ni wengi na bora umeshtuka mapema lol. Am here opening my arms, waiting for you sweetheart 💖🌹
 
Back
Top Bottom