Hili swali langu ni miaka sasa hutaki kujibu unavamia biblia tu , jibu kwanza ya mtume wako ndio uje kwenye biblia
Kwa Nini Allah alichagua mtume kutoka watu wa motoni?
Muhammad anatoka katika ukoo wa motoni hell fire tuanze hapa kwanza
A man asked : where is my father, Messenger of Allah? He replied! Your father is in Hell. When he turned his back, he said : My father and your father are in Hell.Sunan Abi Dawud 4718
Ni sawa lakini kuna makatazo kwetu kutumia biblia kwasababu hatujui la usahihi na la uongo kwa kule kubadilishwa mno vitabu vilivyotangulia.
Tutosheke mkuu wangu na quran iliyohifadhiwa kutokana na mikono ya watu waovu.
Hili swali langu ni miaka sasa hutaki kujibu unavamia biblia tu , jibu kwanza ya mtume wako ndio uje kwenye bibliaIkiwa mungu wako amekwenda motoni jee viumbe wake wende wapi ?
Hili swali langu ni miaka sasa hutaki kujibu unavamia biblia tu , jibu kwanza ya mtume wako ndio uje kwenye biblia
Kwa Nini Allah alichagua mtume kutoka watu wa motoni?
Muhammad anatoka katika ukoo wa motoni hell fire tuanze hapa kwanza
A man asked : where is my father, Messenger of Allah? He replied! Your father is in Hell. When he turned his back, he said : My father and your father are in Hell.Sunan Abi Dawud 4718
Zinatafutwa kwa tochi kama gongoHadimu maana yake ni nini ??
Ni kwa lugha ipi?Zinatafutwa kwa tochi kama gongo
I was just asking sweetheart. Nishaelekezwa na waliowahi kukanyaga Ardhi ya Somalia. Why don't we have a tour in their beautiful cities mamii?Duh haya sawa asante
Pole sikuelewa nlijua unanielewesha...I was just asking sweetheart. Nishaelekezwa na waliowahi kukanyaga Ardhi ya Somalia. Why don't we have a tour in their beautiful cities mamii?
Nikwambie nini sweetheart, tumekuwa tukipokea habari mbaya zinazohusi Somalia miaka kwa miaka, kumbe they have got their good side na maendeleo nchini mwao yakuigwa mfano hata na serikali yetu ya Tanzania.Pole sikuelewa nlijua unanielewesha...
Mimi? Nikafe? Somalia? Niliwe na kunguru? No thanks...... twenzetu Sitimbi.....
Sitimbi tumepazoea mpenzi, labda kidogo ungesema Gambosh Bariadi tukajionee wengine wasioyaona kwenye ulimwengu wa kawaidaπPole sikuelewa nlijua unanielewesha...
Mimi? Nikafe? Somalia? Niliwe na kunguru? No thanks...... twenzetu Sitimbi.....
Ohooooooo utanitoa sadaka weweSitimbi tumepazoea mpenzi, labda kidogo ungesema Gambosh Bariadi tukajionee wengine wasioyaona kwenye ulimwengu wa kawaidaπ
Mi babe hata tusiende mbali hata wapange nini mie siendiiiiiii.... i have been to Kenya wakati alshabab wanapiga matukio aiseeee achaNikwambie nini sweetheart, tumekuwa tukipokea habari mbaya zinazohusi Somalia miaka kwa miaka, kumbe they have got their good side na maendeleo nchini mwao yakuigwa mfano hata na serikali yetu ya Tanzania.
Jaribu kutembelea somalia Urbanization Review uone jinsi walivyo na mipango halisi ya kimaendeleo
Hahaha nitaanzaje mamii? Unataka niishi kwa majuto na bila furaha maisha yangu yote? Maana sitakuona tena wakati binafsi nataka kila nikigeuka nikuone, nikikuwaza tu, sauti yako nyororo nijisikie ikipenya kwenye mboni za masikio yangu, nikichoka nipate bembelezo na faraja toka kinywani mwako.Ohooooooo utanitoa sadaka wewe
Duh!..Kwahyo Somalia hawasomi Triangles?
Basi babe usiongee yote watakuiba hun..... tutapanga mi na wewe tena kipenzi changu....ππππHahaha nitaanzaje mamii? Unataka niishi kwa majuto na bila furaha maisha yangu yote? Maana sitakuona tena wakati binafsi nataka kila nikigeuka nikuone, nikikuwaza tu, sauti yako nyororo nijisikie ikipenya kwenye mboni za masikio yangu, nikichoka nipate bembelezo na faraja toka kinywani mwako.
Chagua twende wapi ili niitimize ile furaha yako mamiiπ₯°π₯°
I can imagine how shocked you were. You will never experience such a thing again baby, I will take you to the very peaceful place on Earth next time.Mi babe hata tusiende mbali hata wapange nini mie siendiiiiiii.... i have been to Kenya wakati alshabab wanapiga matukio aiseeee acha
AaaaawwwwwwI
I can imagine how shocked you were. You will never experience such a thing again baby, I will take you to the very peaceful place on Earth next time.
Yeah maana wezi ni wengi na bora umeshtuka mapema lol. Am here opening my arms, waiting for you sweetheart ππΉBasi babe usiongee yote watakuiba hun..... tutapanga mi na wewe tena kipenzi changu....ππππ
How does it sound to you honey?πAaaaawwwwww