Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Sio kujitetea kama una ushahidi leta, ama saudia ni nchi ya kiislamu na inahukumu kwa misingi ya uislamu licha ya mapungufu madogo madogo lakini wako kwenye unafuu mkubwa, ukiona haikufai kuishi huko ya nini kuminyana kwenye nchi za watu wenye jamii msizoendana mkuu si wahame tu.Ndivyo mnavyojitetea,jibu lako sijashangaa hata. Ruhusuni basi saudia Uhuru wa kuabudu kwa watu wa dini zingine km nyie mlivyokuwa huru kuabudu kwenye nchi zenye misingi ya dini zingine.