Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Sio kujitetea kama una ushahidi leta, ama saudia ni nchi ya kiislamu na inahukumu kwa misingi ya uislamu licha ya mapungufu madogo madogo lakini wako kwenye unafuu mkubwa, ukiona haikufai kuishi huko ya nini kuminyana kwenye nchi za watu wenye jamii msizoendana mkuu si wahame tu.Ndivyo mnavyojitetea,jibu lako sijashangaa hata. Ruhusuni basi saudia Uhuru wa kuabudu kwa watu wa dini zingine km nyie mlivyokuwa huru kuabudu kwenye nchi zenye misingi ya dini zingine.
Huu Ni udhaifu mkubwa sana. Nyinyi mnaishi vizuri kwenye nchi za wengine zenye nifumo ya dini zao,tena Kuna mda mnaandamana kudai haki fulani fulani vitu fulani viruhusiwe kwa muislamu ,kwa Nini wao wakija kwenu mnawakataza kuabudu kwa dini zao? Hivi hujui Kuna watu wanaenda saudia kikazi km udaktari? Yani Ukiwa mkristo pale labda usali kwenye chumba chako, vinginevyo huna haki ya kuabudu, alafu wewe unakuja kusema kirahisi tu "si wahame"👇👇Sio kujitetea kama una ushahidi leta, ama saudia ni nchi ya kiislamu na inahukumu kwa misingi ya uislamu licha ya mapungufu madogo madogo lakini wako kwenye unafuu mkubwa,
ukiona haikufai kuishi huko ya nini kuminyana kwenye nchi za watu wenye jamii msizoendana mkuu si wahame tu.
Ni sawa tu, ukiona sharia ngumu una sepa tu, unaingia ktk makambi ya wakimbizi huko kenya, au unaenda lamu, mombasa, tanga kwenye amani
Wewe baki nahiyo imani yako ya kulia na kuomboleza na kupiga mziki na kucheze ukingoja kufa hili ukachomekeHii imani inafikirisha sana
Ohoooo....[emoji1732][emoji137]ALIEWASHIKA AKILI WAVAA KOBAZI ALIWAPATIA KWELI
Kwani imeandikwa wapi kuwa hii ni marufuku kwenye Uislamu?Hii imani inafikirisha sana
Sasa mkuu ukienda kutafuta pesa kwenye nchi ambayo hamfanani mifumo si unavumilia kwaajili ya malengo, kuhusu hayo maandamano ya hao watu pia nikufahamishe wala hawawakilishi uislamu, kwenye uislamu maandamano ni haramu kabisa.Huu Ni udhaifu mkubwa sana. Nyinyi mnaishi vizuri kwenye nchi za wengine zenye nifumo ya dini zao,tena Kuna mda mnaandamana kudai haki fulani fulani vitu fulani viruhusiwe kwa muislamu ,kwa Nini wao wakija kwenu mnawakataza kuabudu kwa dini zao? Hivi hujui Kuna watu wanaenda saudia kikazi km udaktari? Yani Ukiwa mkristo pale labda usali kwenye chumba chako, vinginevyo huna haki ya kuabudu, alafu wewe unakuja kusema kirahisi tu "si wahame"👇👇
Wanaouliwa sio waislam, wanauliwa wanafki.Kwani al shabaab huko somalia wanapambana na kuwaua kina nani kama sio waislamu wenzao? so wewe Mcqueenen ukifuga fisi tutasema ni ukristo ndio unafuga fisi, jenga hoja kwa utafiti si mihemko na chuki zisizo na sababu mkuu.
Uyu alie leta khabari hii unamuamini? naona unaanza kutukanaHuo upumbavu wa alshabaab waulize wanautoa wapi kwenye uislamu hakuna mambo kama hayo.
Wao huwa wanatega mabomu kwenye magari wakizingatia mikusanyiko yenye watu wengi kama masokoni, viwanjani n.k pale wanajuaje nani muislamu nani asiye muislamu? then kipimo cha unafiki anakifanya nani wakati wao ndio wabakaji wakubwa na wengine hata hawaswali?.Wanaouliwa sio waislam, wanauliwa wanafki.
Mnafiq ni kafir
Mtu yeyote anayepinga sharia za Quran na hadeeth kisa umagharibi, sio muislam ni mnafiq
Ameshakuwa brainwashed na usasa.
Ukiridito uko watu washamba wasio jitambua walami hawana ujinga huu wa mwamposaUslam una kitu kinachoitwa christophobia yani wanauogopa sana ukristo mana ukristo ukiingia katika jamii zao basi wengi watauacha uislam na misikiti kubaki magofu.
Uovu unaofanywa na hayo makundi huko somalia haufichiki hata ukiachana na hilo la sambusa, juzi tu wameua watu karibu 20.Uyu alie leta khabari hii unamuamini? naona unaanza kutukana
Wanataka iwarahisishie kunyonyaNa mwanamama ole wako uvae sidiria
Muislamu yupi anaeuogopa ukristo? sisi tunawaandaa watoto wetu tangu wanaanza kujifunza kusema, tunawaandaa kuipenda dini yao na kuisoma vizuri na mafundisho yake, utakuja vipi kumbadilisha kisa tu unatembea na spika na kasuti keusi huku unapiga kelele kwenye jua kali masokoni na kwenye mikusanyiko ya watu? kweli kuna waislamu wengi wasiojitambua lakini hakuna tishio unalolisema.Uslam una kitu kinachoitwa christophobia yani wanauogopa sana ukristo mana ukristo ukiingia katika jamii zao basi wengi watauacha uislam na misikiti kubaki magofu.
Source:Al Shabab wamepiga marufuku kutengeneza na kula sambusa - Somalia.
Hii ni kutokana ina shape ya pembe tatu, yaani ni kiwakilishi cha Ukristo (Utatu Mtakatifu/Trinity)
Hichi kitu kimenishangaza kwa nini kisibadilishwe umbo la duara au mstatili, badala ya kuwanyima watu kitafunwa wanachokipenda kisa ujinga walio nao kichwani.
Au ndio udogo wa kufikiri?
View attachment 2473792
Fala wewe 😅😅Wakumbushwe na papuchi nayo ina shape hiyo.....
Una hoja nyepesi Sana Kama pamba.Sasa mkuu ukienda kutafuta pesa kwenye nchi ambayo hamfanani mifumo si unavumilia kwaajili ya malengo, kuhusu hayo maandamano ya hao watu pia nikufahamishe wala hawawakilishi uislamu, kwenye uislamu maandamano ni haramu kabisa.
Wapumbavu kuna viungo vya mwili vina umbo hilo basi navyo waving'oeHii ni kutokana ina shape ya pembe tatu, yaani ni kiwakilishi cha Ukristo