Somalia wapiga marufuku Sambusa

Huwezi kuita hoja zangu nyepesi wakati wewe hujaleta nzito kuzinyepesisha za kwangu, mimi ni muislamu tena ninayeuelewa uislamu nakueleza mambo hayo hayaruhusiwi kwenye uislamu unazipinga hoja zangu kwa kuniambia kuna mtu alikuwa anamchinja mtu mwingine huku anasema allah akbar hapa mwenye hoja nyepesi ni nani?.

Okay ngoja nikupe faida moja, kuna watu wanaitwa makhawaarij hawa hawakuanza leo wameanza ufisadi wao tangu karne za mwanzo kabisa kwenye historia ya uislamu, watu hawa ndio waliowaua watu watukufu na waheshimiwa katika uislamu na wamezungumzwa zaidi kwenye uislamu kwa lugha mbaya kuliko hata hiyo unayoisema wewe, na wao ndio watu waovu zaidi wanaouwawa chini ya mbingu na ni haki yao kuuwawa kama mtawala akiweza kufanya hivyo, watu wabaya kabisa na watu wanaotembea na mifumo yao ni kama alqaeda, alshabaab, isis, islamic jihad, boko haram n.k hata hawa hapa capo delgado msumbiji ni mfano wao..

Sasa hawa ni extremists na wanayoyafanya hayahusiani na uislamu kama nilivyokueleza tangu mwanzo sema sina muda ningekunukulia hadithi nyingi tu kuwasema vibaya wao.

Kuhusu wale waislamu wa ufaransa ziko fataawa nyingi tu kuwataka watoke kwenye nchi ambazo wanashindwa kudhihirisha dini yao kwa uhuru na si vyema kukaa kati ya watu ambao wanawanyima uhuru wa kuabudu totally, allah anasema kuwahusu watu kama hawa katika quran.

"Hakika wale ambao wanafishwa na malaika hali ya kuwa wamezidhulumu nafsi zao, wakiwaambia mlikuwa katika hali gani? watasema "tulikuwa ni madhaifu katika ardhi" watawaambia: hivi haikuwa ardhi ya allah ni pana mkahamia humo? basi hao mafikio yao ni jahannam, na marejeo mabaya zaidi ni hiyo jahannam"

Quran 4:97

So hao watu hakuna sheria inayowaruhusu kuandamana kwani ni kinyume na misingi ya uislamu na miongozo inawataka kujiweka mbali na sehemu kama hizo, kuhusu wale wauaji nimekueleza hapo juu.
 

Umeelewa hata nilichokua naongelea au umejibu nawe uonekane umejibu
 
Yaani adui mpe story kidogo mwachie aichambue

Yaani ni mpumbavu tu ataamini uongo huu
Nenda kaulize wasomali Lumumba kama ni kweli
Mwenye chuki ya Uislam atatukana bila hata kuwa na uhakika kuwa hii Habari ni kweli au uongo

Alshabab wanauwa ila la hili ni mjinga tu mwenye chuki ataamini ya sambusa
Na hii tabia ya kuamini kila kitu bila utafiti mdogo tu wengi hamna

Muwe mna Google kabla ya ku comment wengi ni wavivu ww kujiongeza ndio maana vita haziishi kwenye njaa kwa sababu mnaamini kila uongo unaoweza kuleta mtafaruku

Eti Sambusa marufuku weka sheria hiyo hapa na waliotukana tuwaone.
rubbish
 
Uslam una kitu kinachoitwa christophobia yani wanauogopa sana ukristo mana ukristo ukiingia katika jamii zao basi wengi watauacha uislam na misikiti kubaki magofu.
Ulaya makanisa yameuzwa sana na Uislam umeongezeka sana
Kuna makanisa wameyafungua walokole na kugawa chai na biscuits za bure kila siku
Ukipita wanakuomba uje unywe chai tu

Yaani kuanzia dini mpaka kunywa chai na kupiga soga
Hakuna Muislam anaeuogopa ukristo kwa sababu mafundiksho yanatofautiana
Nyie mnamuita yesu mungu na sisi tunajua ni binadamu kama wewe sasa tuogope kwa lipi na kuwa wakristo?
 
yani kuna dini nyingine zina mambo ya ajabu Sana....
 
Dahh! Wasomali bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hawa jamaa kweli hawakogo sawa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dahh! Nimecheka kifala!
 
Mirungi sio kosa somalia wakati ni kilevi. wavaa kobazi watakuletea ayaha hapa mpaka utakimbia
 
Hakkuna neno linanikarahisha kama hiliπŸ˜†
Lazima ukarahike..! Neno lenyewe limekaa ki dharau dharau.

Kusitiri mtu mfano Wake ni kama yupo Uchi Vile mbele Ya Kadamnasi halafu atokee mtu amrushie kipande cha nguo kumuokoa na aibu..!

Sasa Kuoa au Kuolewa ama Kutooa au kutokuolewa ni Majaliwa Ya Mungu Sio Jambo La Aibu Hata Kidogo..!

Labda Wataalamu Wa Nahau wafafanue..!
 
uMemaliza mkuu....kuolewa ni majaliwa lakini sio kusitiriana..πŸ’―..how?
 
Ukiona wanafanya ambush basi ujue hiko kijiji kimepelekewa uislam na kuambiwa kitawaliwe na sharia kikakataa.
Au ni maadui wa waislam wanatuma wanajeshi wao kupambana na alshabab.

Kama kuna waislam wanaishi kwenye maeneo ya hivo ni wanafiq kwasababu wamekubaliana kutawaliwa na makristo (eg.Kenya) na hawafanyi jihad yoyote ya kuipinga hiyo serikali ili kuruhusu uislam wa kweli uingie...na walio pamoja na makafir kwa ndani halafu nje wanajifanya waislam kwenda msikitini, Hao sio waislam bali ni wanafiq
Muislam wa kweli lazma afanye jihad, hawezi kukubali kutawaliwa na mkristo.
Ndomaana Muhamad(saw) alipambana na wenyeji wake waliomkuza wa makka.
Aliwaua, aliwafanyia ambush kwenye misafara yao ya biashara, akawaibia mali zao ili kuwadhoofisha kiuchumi mpaka akafanikiwa kuiteka Makka.

Ukijisalimisha kwa Alshabaab na ukaachana na unafiq au ukafir, Hawakuui wanakuchukua na kukustir
 
Huwezi kufuta βˆ† au [emoji3531][emoji294][emoji287] kwasababu siyo vyakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…