Somalia wapiga marufuku Sambusa

Mbona hiyo easy tu si wabadilishe shape tu? unatengeneza umbo la mstatili au bomba na jina mnaita mnalotaka nyie....kitu ni kile kile tu.
View attachment 2473919
Shida kwao sio umbo,shida ni nyama wawekezaji wanaweka ya kitimoto.
Huku bongo wanabugia tu tena zinapendwa sana na wale jamaa.
 
Ndivyo mnavyojitetea,jibu lako sijashangaa hata. Ruhusuni basi saudia Uhuru wa kuabudu kwa watu wa dini zingine km nyie mlivyokuwa huru kuabudu kwenye nchi zenye misingi ya dini zingine.
Kumbe Vatikan wameruhusu waislamu na mabudda na mahindu?
 
Bibie unakaa attention ili ukitajwa uislamu tu lazima utokee.


Ndio kwa sababu kuna wengine mumezaliwa si riziki na mnaleta mambo yenu ya kishoga humu , kama Yesu alivyotuambia hapa chini


 
Hiviii..!!! suala ni shepu ya sambusa ilivyo au ingredients za sambusa? Maana naona kama swala ni shepu yake, wapike zenye sura nyingine..!!!

Na vipi kuhusu somo la hisababti inapokuja topiki ya maumbo? Pembetatu nayo wataisoma au inakuwaje?

Mathematical set nayo, vile vipembetatu navyo vinaondolewa mule kwenye kimkebe?
 
Ndio kwa sababu kuna wengine mumezaliwa si riziki na mnaleta mambo yenu ya kishoga humu , kama Yesu alivyotuambia hapa chini


NIMEWEKA MISTALI YA BIBLIA KWA KIINGEREZA NA KWA KISWAHILI ILI NIONE HILO ULLOLIANDIKA KAMA KWELI LIMO KWENYE BIBLIA KAMA ULIVYOSEMA. Mwenye macho na aone​

Matthew 19:10-12​

10 The disciples said to him, “If this is the situation between a husband and wife, it is better not to marry.”

11 Jesus replied, “Not everyone can accept this word, but only those to whom it has been given.

12 For there are eunuchs who were born that way, and there are eunuchs who have been made eunuchs by others—and there are those who choose to live like eunuchs for the sake of the kingdom of heaven. The one who can accept this should accept it.”


Matayo 19:10-12

10 Wanafunzi wake wakamwambia, “Kama hivi ndivyo hali ilivyo kati ya mume na mke, basi ni afadhali mtu asioe!”​


11 Yesu akajibu, “Si kila mtu anaweza kupokea mafundisho haya isipokuwa wale ambao Mungu amewajalia.

12 Kwa maana wako watu wasioweza kuoa kwa sababu wamezaliwa na hali hiyo; na wengine wamefanywa hali hiyo na binadamu; na pia wako wengine ambao wameamua kutokuoa kwa ajili ya Ufalme wa mbinguni. Awezaye kuli pokea fundisho hili na alipokee.”
 


Hiyo yo Biblia uliyo kopia iinaitwa vipi ?? manaa kuna biblia zaidi ya elfu kumi tofauti na kila mmoja anasema yake ndiyo sahihi
 
Hiyo yo Biblia uliyo kopia niinaitwa vipi ?? manaa kuna biblia zaidi ya elfu kumi tofauti na kila mmoja anasema yake ndiyo sahihi
Weka hiyo yako ambayo unadhani ndo ipo sahihi. Weka mstari kwa mstari kama nilivyofanya mimi. Kuishia kubandika hiyo picha na kuweka maneno uliyoyaweka wala si ushahidi tosha wa ulichokiandika. Kwangu mimi wewe ni MUONGO WA HALI YA JUU. VINGENEVYO WEKA MSTARI KWA MSTARI KAMA NILIVYOFANYA MIMI
 
Hawa watu ni wendawazimu
 


Mimi sijasema kuna biblia yoyote sahihi , mimi ninavyojua na ushahidi ninao hakuna biblia sahihi zote zimekuwa forged

Huko uliko kopia wewe pia kwani eunuch imetafsiriwa vyengine kinyume na uhalisia
 
Elimu ni shida sana KWA Jamii hio.
Pembe tatu uikosi popote maisha hata ukijenga nyumba uikosi, hata ukijenga msikiti uikosi
 
Mimi sijasema kuna biblia yoyote sahihi , mimi ninavyojua na ushahidi ninao hakuna biblia sahihi zote zimekuwa forged

Huko uliko kopia wewe pia kwani eunuch imetafsiriwa vyengine kinyume na uhalisia
Weka huo ushahidi ulionao..!! Na wewe kopi huko kwako MSTARI KWA MSTARI, kunakosema hayo unayotuaminisha..!! Tuwekee hiyo Matayo 19:10-12, Simple
 
Weka huo ushahidi ulionao..!! Na wewe kopi huko kwako MSTARI KWA MSTARI, kunakosema hayo unayotuaminisha..!! Tuwekee hiyo Matayo 19:10-12, Simple


Mbona hujanijibu , hivi eunuch ni watu gani ??
 
Mbona hujanijibu , hivi eunuch ni watu gani ??
Ni watu wasio na hamu ya sex, au watu walioondolewa uwezo wa kuwa na hamu ya sex.
Kuna waliozaliwa wakiwa hawawezi kupata hamu ya sex na kuna wale waliofanywa hivyo hapa duniani

Haya lete ushahidi sasa wa hoja yao..!!
 
Sasa kwa nini Allah aliwaumba makafiri.si angewaumba waislamu tupu? Au hana Nguvu sana?
 
Aloooh mtume kumbe aliiba mali za watu? Hii inaruhusiwa kwenye Quran? Au Allah alimruhusu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…