Somalia wapiga marufuku Sambusa

Ni watu wasio na hamu ya sex, au watu walioondolewa uwezo wa kuwa na hamu ya sex.
Kuna waliozaliwa wakiwa hawawezi kupata hamu ya sex na kuna wale waliofanywa hivyo hapa duniani

Haya lete ushahidi sasa wa hoja yao..!!
Umeipata kutoka dictionary ipi?
 

Ni kweli uislamu una miaka zaidi ya 1000 africa mashariki.

Swali langu kwako, kwa nini waislamu wapo wachache kuliko wakristo kiidadi

Why dini yenye miaka 1000 iwe na waumini wachache kuliko dini iliyochelewa kuja sana.

Pia Dar es salaam kiasili ni mji wa waislamu.

Cha kushangaza waislamu wanahamishwa Dar kwa kununuliwa na watu wa dini zingine.

Sehemu zote nzuri za dar es salaam kama oysterbay, mikocheni, masaki, waislamu unawatafuta kwa tochi..

Mbagala ndio makazi ya uhakika ya waislamu..

Waislamu wanakubari kuhamishwa kariakoo na wachaga na wakinga kisha wao wanaenda kuhamia mbagala huko..

Waislamu mnakwama wapi? Dini yenu ipo miaka zaidi ya 1000 ila mnakuwa dominated na dini iliyokuja juzi
 
Umeipata kutoka dictionary ipi?

Kifupi ni watu waliohasiwa..!! wengine wamezaliwa wakiwa hawana uwezo kwenye sex na wengie mambo yaduniani huwafanya wawe hivyo

BADO NASISITIZA WEKA MISTARI, ACHA KUKWEPA HOJA KWA VIMASWALI VYA KITOTO. WEWE KAMA UMEAMINISHWA HIVYO, SEMA PIA
 

Sio uislamu hapo ni makabila hata mwanza wazawa maeneo yao yamechukuliwa na makabira mengine
 
Kwani Sambuza lazima iwe ya pembe tatu?

Si hata pembe ine inawezekana?
 
Sasa kama hawautaki huo ukristo mbona wanatumia silaha kutoka USA au Uk kwenye Ukristo mwingi,hawa jamaa wakiwatawala mbona mtakiona cha moto...
 
Zanzibar huwa wanachapa viboko watu wanaokula kipindi cha mfungo wa ramadhani. Na hiyo ipo kwenye Quran?
 

Bila jaziba , eunuch ilivyoandikwa hapo na tafsiri uliyoitowa ni sawa sawa ?
 
ALIEWASHIKA AKILI WAVAA KOBAZI ALIWAPATIA KWELI
Uislam huwa hautaki challenge. Ukihoji kuhusu Mohamad, unahukumiwa kifo. Usiulize swali lolote kuhusu uislamu ni kosa.
Ndiyo maana wanajitahidi kila namna kuzuia ukristo maana wakiruhusu tu uislam unakufa.
 
Sawa tu, watu wenyewe mbona akili zao wanazijua wao wenyewe.
 
Zanzibar ni Nchi ya Kiislamu iliyovamiwa na wakristo.
Punguza udini mzee. Watu wanzibar walikuwa hawana dini na walikuwa wanaishi wafrika wakifanya shughuli zao. Mwaarabu na biashara ya watumwa na pembe za ndovu akaivamia zanzibar
Wafrika wengi sana walikufa pale kwa kufanyishwa kazi bila malipo na mwaraabu, wengine waliuliwa walipogoma kufanya kazi, wanawake walibakwa, kupigwa na wengine walipelekwa Oman kama watumwa kufanya kazi kwenye mashamba ya karafuu. Dini ya uislam na ukristo zililetwa. Wafrika walikuwa wana dini zao.
Rejea Mapinduzi ya Zanzibar.
 
Aliyeleta biashara ya utumwa ni kanisa

Nilifungua thread tokea juzi moderator wanaogopa kuweka uzi wanahofia ukweli . Uzi wenye historia na sio chuki Za kidini
 
Dini ya mwafrika inaitwaje ? Ndiyo dini yako ? Na mungu wako kumbe ni Marehemu Wanyonyi , mkenya?
 
Wafrika tulikuwa na dini zetu tunaabudu miti, mawe, watu n.k na pia tulikuwa na majina yetu ya asili ila kutokana na biashara ya utumwa ya waarabu na wazungu tukajikuta tumepoteza asili yetu.
Dini ya mwafrika haina tofauti na uislamu, ukristo, budha n.k
Dini ya mwafrika inaitwaje ? Ndiyo dini yako ? Na mungu wako kumbe ni Marehemu Wanyonyi , mkenya?
 
Hujajibu Swali hata moja

Dini ya mwafrika inaitwaje ?

Ndiyo dini yako ?

Na mungu wako kumbe ni Marehemu Wanyonyi , mkenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…