Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Roho mtakatifu alikuwa anatutembelea.
Roho mtakatifu alikuwepo tuHahahahahaaaa
Wewe ulikuwepo kwani karne ya 13 mpaka useme hivyo?
Unaweza ukanipa proof huyo RM alikua anawatembelea?
NIshakuambia hakuna tofauti ya superstition na hayo mambo yenu!
Its funny unaongelea spooky god!
So lame!
R
Roho mtakatifu alikuwepo tu
Wewe ni Mkora sanaAlikuwepo tu,proof hakuna!
Nikikukomalia sana,utasema ulisoma kitabu kinaitwa biblia!
Its funny an almighty God with all the powers,he is just a book author/writer!
He is a journalist!
Proof of him writing a book?None!
Walioandika ni wanadamu kama mimi na wewe telling all these pile of lies with no proof whatsoever halafu on top of that wanadanganya God wrote it!
Fvck!
Wewe ni Mkora sana
Mimi naamini wewe ni muisilamu lakini unajifanya mpagani kuficha imani yako inayozua vifo na mauwaji afrika ya mashariki.Hahahahaha
Kakutuma utukane watu wanaompinga eee?
Sasa wewe mwenye dini na mimi nisieamini chochote tuna tofauti gani sasa?
Wewe ni mmarekani?Yananihusu Wasomali Wanachukia Judeo Christianity halafu wanapenda sana kuwa Abused na warabu.
Wazo murua kabisa hili.Hao wasomali wabantu watafute silaha wajilinde waache uboya na ujinga wa kulia lia oyyo wao wanafikiri kuna mtu atakayekuja kuwaonea huruma watafite chuma alafu uwekwe ulingoni!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi niko tayari kwenda kusaidiana nao kinachotakiwa ni Silaha za Kisasa nyepesi na kuwafundisha namna wanavyotawaliwa kifikra ili wajikomboe wamkubali Yesu wawe watiifu kwanza Kisimayuu ni neno la Kibantu Kisima cha juu halimo kwenye lugha ya kikush cha mashariki. Naunga mkono hoja.Wazo murua kabisa hili.
Alikuwepo tu,proof hakuna!
Nikikukomalia sana,utasema ulisoma kitabu kinaitwa biblia!
Its funny an almighty God with all the powers,he is just a book author/writer!
He is a journalist!
Proof of him writing a book?None!
Walioandika ni wanadamu kama mimi na wewe telling all these pile of lies with no proof whatsoever halafu on top of that wanadanganya God wrote it!
Fvck!
Mimi niko tayari kwenda kusaidiana nao kinachotakiwa ni Silaha za Kisasa nyepesi na kuwafundisha namna wanavyotawaliwa kifikra ili wajikomboe wamkubali Yesu wawe watiifu kwanza Kisimayuu ni neno la Kibantu Kisima cha juu halimo kwenye lugha ya kikush cha mashariki. Naunga mkono hoja.
EAC tushirikiane na Somaliland hawa wasomali poa waliletwa na Muingereza Kenya na Tanzania miaka miaka Mingi tumekaa nao bila Shida Tanzania wameshika Nyadhfa mbalimbali kwa kwa uaminifu mkubwa Majeshini Polisi ila hawa wa South Somalia Udini wameweka Mbele Ubaguzi dhidi ya Wabantu ndio umewatawala.
Brother Matthew, I hope I am not wrong by thinking you were not in a state of sobriety when you wrote this.Yesu ndio matako gani huyo mzee?
Mwambie yee kiazi tu!
Wapo walikuwepo wamestaafu angalia kama Kanali mstaafu kinana