Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Roho mtakatifu alikuwa anatutembelea.
Hahahahahaaaa
Wewe ulikuwepo kwani karne ya 13 mpaka useme hivyo?
Unaweza ukanipa proof huyo RM alikua anawatembelea?
NIshakuambia hakuna tofauti ya superstition na hayo mambo yenu!
Its funny unaongelea spooky god!
So lame!