Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu
imekuwaje watu wote dunia hii waamini kuna MUNGU,si wahindi si wabantu wote kwa pamoja tunaamini Mungu yupo haijalishi wewe ni budha,muislamu ama dhehebu lolote?
in revolutionary terms,tupo hapa sababu baba zetu na babu zetu walikua better adapted to their environment..wakawa successful to pass their genes..
Ninachotaka kusema DINI ni adaptive,
imagine tusingekua na dini labda mababu zetu wangekua wauaji,majambazi,mala.ya na mambo mengine ambayo yako maladaptive....yote haya matokeo yake yangesababisha ugumu wa wao kupass their genes...hivyo mimi na wewe tusingekuwepo hapa…..
uko free leo hapo leo ni sababu kuna washika dini kibao,lol..imagine hapa hali ilivyo kuna maovu mengi hivyo,je kusingekua na dini?

mnhhh haya bana,
sidhani kama umenielewa,
sikulaumu,lols
Aaah wap fafanua zaidi
Sent using my iPhone using jamiiforum app
halafu wewe nakufananisha,lol
Hahahahaaaa
Wewe upo na Mungu unachokiongea chote ni miujiza tu!
Cha ajabu hii dunia tunayoishi mimi na wewe hakujawahi kua na miujiza of any kind and you know this well!
Sema basi tu Becky unaamua kua mbishi!
Soma tena ile post kwa utaratibu,lol
Hahahahaaaa
Wewe upo na Mungu unachokiongea chote ni miujiza tu!
Cha ajabu hii dunia tunayoishi mimi na wewe hakujawahi kua na miujiza of any kind and you know this well!
Sema basi tu Becky unaamua kua mbishi!
Tatizo lao hao majirani ukienda kumsaidia mbantu anaungana na mwenzie wana kukungutaMimi nimeamua kujitoa muhanga kwenda kuwakomboa Wabantu na kuingia nao vitani bega kwe bega.haleluyaaa!!
Hata wewe kuvuta mibangi chooni na kudai hakuna Mungu nao ni muujiza pia.
Wasi wasi wangu usijeamka siku ukaanza kubisha hukuzaliwa na mama yako.sababu tu umekua ukakuta watu wanasema huyo ni mama yako.
Ni kweli hiyo inaitwa Stockholm Syndrome tunajua namna ya kuitibu.Tatizo lao hao majirani ukienda kumsaidia mbantu anaungana na mwenzie wana kukunguta
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana acha wazichape tu maana hakuna namna"The Drums of war" Majeshi ya Somalia yakijiandaa na Vita wanasema mpaka wafike Nairobi na Kuweka kambi Isiliii..sisi yetu macho ngoja wajichanganye ndio watajua kilichomtoa kanga Manyoya
Unazidi kukiri kwamba Mungu yupo. Hebu soma comments zako vizuri.Dada Jeni mzuka pande za Nyeri huko?
Hahahahahaa
Niko poa na I know it is so shocking to you people sababu mmekulia maisha ya hofu!
Mliambiwa dini au God cant be questioned which is a very stupid concept to begin with?
You are scared to be questioned,what'chu hiding Mr All Powerful Mr God?
God has to face criticism,ridicule,questions,etc like any other concept...
He has to stop running away!
And,one another thing,its funny this fabricated God cant even take a joke?
Namtukana yeye,cha ajabu wanadamu ndio mna-catch feelings,he so powerful muache ajitete yeye mwenyewe!
Unazidi kukiri kwamba Mungu yupo. Hebu soma comments zako vizuri.
Aisee nyie watu hunibamba sana.
The only true religion is Christianity. Jesus died and rose again.Hahaahahaaaa
Jeni unanifurahisha sana....
Ninaongea assuming huyo Mungu wenu ana-exist then ana mapungufu mob sana!
Ila mimi binafsi sina imani/faith kwamba kuna Mungu au Shetani....Nyie mlipoweka imani,mimi kwangu ni 0,yaani vacant,yaani hamna kitu!
Wakenya mpo religious sana kama Wanigeria na Wahindi!
Ndio maana mpo so aggressive and volatile,Wabongo wapo easy,lay back,hawana imani kali sana na hizi dini!
Dini zinawapa ujasiri wa ajabu with false hopes.....Fanatics wa dini hawana utu!