Somalia yaanza kuwafukuza Wakenya!

Somalia yaanza kuwafukuza Wakenya!

Hahahahahaaaa

Wewe ulikuwepo kwani karne ya 13 mpaka useme hivyo?

Unaweza ukanipa proof huyo RM alikua anawatembelea?

NIshakuambia hakuna tofauti ya superstition na hayo mambo yenu!

Its funny unaongelea spooky god!

So lame!
Haha superstition. SO you're superstitious? Unaamini ukila albino unatajirika?
 
The only true religion is Christianity. Jesus died and rose again.
Ukristo ni mojawapo wa maelfu ya dini mbalimbali zilizopo hapa duniani kwa sasa!

Ukristo ni wa juzi,una miaka 2000 tu,ila binadamu ana historia ya miaka bilioni 4 hapa duniani!

Katika historia ya dunia ya hiyo miaka bilioni 4,kuna dini chungu nzima zilikuja na kuondoka kutokana na kipindi cha historia na mahitaji ya mwanadamu kwa kipindi hicho,Ukristo nao umekuja na utaondoka!

By rule of thumb tu,ndani ya miaka milioni moja tu ijayo,binadamu atakua tofauti kabisa na mwanadamu wa sasa,hivyo outlook yake ya dini na mazingira yake yatabadilika na yatakua mengine kabisa,survival ya dini yako ya Kikristo utakua haupo!

Kwa kifupi ni kwamba,Ukristo umekuja na utaondoka kutokana na nyakati na mahitaji na uelewa wa mwanadamu unavyobadilika!

Wewe kujitetea na Ukristo leo ni kwasababu wewe ni mwanadamu wa leo na mahitaji yako ni ya zama hivi za leo,lakini wanadamu wa miaka milioni moja ijayo watakua na mahitaji na uelewa tofauti na wako leo hii!

Islam, Mohammed never resurrected and in his book the Koran he instructed Muslims to kill all non-muslims
Unaona hii ndio hatari ya dini!

Washika dini mna selfishness ya hali ya juu sana...Kila mmoja anasema dini yake ni bora zaidi ya mwingine.

Wewe hapo unairushia dini ya kiislamu lawama kwamba ni mbaya as if Ukristo hauna mabaya yake ya Christin Pacifism,Non-Resistance Wars,Just War Theory and Crusades.Ukristo na fujo ni chanda na pete.

Kwahiyo hapo mmejenga chuki baina yenu nyie na waislamu kwa lawama kama hizi wakati dini zote zote zina mabaya na mazuri yake hivyo zote ni za kipumbavu tu in a grand scheme of things!

What's written in the book (bible about prosecution of Christians is evident now.
Unazidi kujenga chuki kwa kujigeuza victims.....Dini ni violence,na hii ni proven kwa hizi lawama unazitoa hapa!

I would be an atheist if there was no Christianity.
Unaongea tu sababu tayari matukio yalishatokea hivyo sentensi yako ni non consequential.

Ukristo mababu zako waliletewa na wazungu ikarithishwa mpaka wewe ukazaliwa juzi ukaipokea kutoka kwa wazazi wako!

Kwa kifupi,Ukristo ulikua forced onto you bila wewe kujua,hukufanya conscious decision kufanya uchaguzi,ulijikuta tu umelelewa Kikristo sababu wazazi wako na jamii yako ni Wakristo.

Are you an atheist??
Yeah,a nigga with zero belief on any form of a deity
 
Hawa watu hawana uungwana wampokewa na na Kenya na kupewa Makambi Sasa Angalia na bado hawa Watu Wataitesa Afrika ya Mashariki.
Ewe Mtanzania Ewe Mkenya Balaa linakuja.

Watanzania inawahusu nini? Kuiba waibe Wakenya uwajumuishe na Tanzania?
 
Haha superstition. SO you're superstitious? Unaamini ukila albino unatajirika?

Mimi siamini uchawi wa aina yoyote!

Siamini Mungu wa aina yoyote!

Superstitions ni maigizo na rituals za kipumbavu!

Its like actors with no movie roles!

Dini na superstitions ni the same,difference ni labda muda wa kufanya hizo acting routines.Dini mnafanya mchana na supertitions wanafanya mostly usiku!

Maigizo kama kubatiza,kula kipande cha mkate,kunywa mvinyo wa divai,kufukizwa kwa ubani,etc ni upumbavu wa hali ya juu kabisa,na ni vichaa tu ndio wanaweza fanya hayo.

Kumwagia mtu maji mara tatu eti umembatiza na kumuondolea dhambi sijui kuna uhusiano gani kati ya water as a liquid na moyo wa mtu na matendo yake?

Ni vichaa tu wanaoweza sema kipande cha mkate wa unga wa ngano ni mwili wa Mungu na pombe ya wine ni damu ya Mungu,sijui kumetokea chemical conversions gani ya high level namna hiyo na kuamini kabisa it is true!

Religious people can do savage things with easy like lunatics!
 
Hawajafanya vizuri mbona kenya inawahifazi wa somali wenginzaidi eti tena illegal tu na bado wanawafanyia ukorofi lkn wao wa somaki wana wafukuza hao 27 tu kweli jaman LDC citizens are expelled like trush ?
Kenya haiwahifadhi Wasomali, ardhi ya Somalia kubwa ipo ndani ya kenya. Wasomali ni moja ya Makabila ya Kenya. Zaidi ya 20% ya Wakenya ni Wasomali na wapo wengi wasomi walioshika nyadhifa nyingi za juu Serikalini Licha ya kuhodhi biashara kubwa kubwa.
 
Hawa watu hawana uungwana wampokewa na na Kenya na kupewa Makambi Sasa Angalia na bado hawa Watu Wataitesa Afrika ya Mashariki.
Ewe Mtanzania Ewe Mkenya Balaa linakuja.

The world is coming to an end now, since when watu wa njaa wanafukuza wenye vyakula, watakula nini Somalians when they depend on Kenya and kidnappings?
 
Mimi siamini uchawi wa aina yoyote!

Siamini Mungu wa aina yoyote!

Superstitions ni maigizo na rituals za kipumbavu!

Its like actors with no movie roles!

Dini na superstitions ni the same,difference ni labda muda wa kufanya hizo acting routines.Dini mnafanya mchana na supertitions wanafanya mostly usiku!

Maigizo kama kubatiza,kula kipande cha mkate,kunywa mvinyo wa divai,kufukizwa kwa ubani,etc ni upumbavu wa hali ya juu kabisa,na ni vichaa tu ndio wanaweza fanya hayo.

Kumwagia mtu maji mara tatu eti umembatiza na kumuondolea dhambi sijui kuna uhusiano gani kati ya water as a liquid na moyo wa mtu na matendo yake?

Ni vichaa tu wanaoweza sema kipande cha mkate wa unga wa ngano ni mwili wa Mungu na pombe ya wine ni damu ya Mungu,sijui kumetokea chemical conversions gani ya high level namna hiyo na kuamini kabisa it is true!

Religious people can do savage things with easy like lunatics!
Good day my friend!
 
Wanajeshi wa kenya wanawauwa sana raia wa somalia wasio na hatia, ukweli ni kwamba kenya haipo somalia kupambana na alshababu bali wapo huko kulinda maslai yake, kuna mapipa ya mafuta yapo baharini ndiyo kenye wanayalinda huko kupitia mgongo wa kupambana na al shabab, kenya ondoeni majeshi yenu huko somalia...
 
.since you believe there is no God or super natural forces...can you tell us how the universe came to existence?
 
Kenya haiwahifadhi Wasomali, ardhi ya Somalia kubwa ipo ndani ya kenya. Wasomali ni moja ya Makabila ya Kenya. Zaidi ya 20% ya Wakenya ni Wasomali na wapo wengi wasomi walioshika nyadhifa nyingi za juu Serikalini Licha ya kuhodhi biashara kubwa kubwa.
Wasomali mchana ni Raia wema Usiku ni Alshababu.
 
Wanajeshi wa kenya wanawauwa sana raia wa somalia wasio na hatia, ukweli ni kwamba kenya haipo somalia kupambana na alshababu bali wapo huko kulinda maslai yake, kuna mapipa ya mafuta yapo baharini ndiyo kenye wanayalinda huko kupitia mgongo wa kupambana na al shabab, kenya ondoeni majeshi yenu huko somalia...
Hawa Somalia inatakiwa waende Pakistan kujifunza how wataitumia al shabab kulazimisha kdf iondoke Somalia

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Kenya haiwahifadhi Wasomali, ardhi ya Somalia kubwa ipo ndani ya kenya. Wasomali ni moja ya Makabila ya Kenya. Zaidi ya 20% ya Wakenya ni Wasomali na wapo wengi wasomi walioshika nyadhifa nyingi za juu Serikalini Licha ya kuhodhi biashara kubwa kubwa.

we mbona unagonganisha lugha, ukishasema somali ni kabila ndani ya kenya maana yake hiyo nchi ya kenya bila kujali asili yao ni somalia,...
 
Sitoki nyeri Mimi.
btw ,Ruge mtuhubu ni nani?

Unatoka West Province nini?

Ruge Mutahaba alikua media owner na alifanya biashara ya muziki wa Bongo Flava!

Anamiliki radio station,tv station,digital media company na mpenzi mkubwa wa serikali ya CCM na looters wote!

Amekufa juzi,watu ndio wanajifanya kulia kinafiki!
 
.since you believe there is no God or super natural forces...can you tell us how the universe came to existence?

No one knows for sure...

As scientists we are still trying to find answers!

Currently,religious theory of universe creation is not convincing either!

Shida yenu nyie msha-conclude kwa imani yenu which does not make any sense!

Plus,unachosema Universe ni moja,evidences are currently showing that there are Multiverses with multiple realities which infact makes hoja inayotolewa na dini kuhusu uumbaji stupid and stupid!

As human efforts and intelligence is trying to find answers,as usual he will prove religion is wrong as it has been proven on other beliefs through and through!

As scientists effort to find answers,they came up with Evolution Theory which infact is trying to explain,but with alot of shortcomings...

Just like theory given out na nyie watu wa Dini on Creation Theory which of course has shortcomings too,tatizo mnasema ni perfect and is NOT to be criticized,which makes it and you believers very stupid!
 
Unatoka West Province nini?

Ruge Mutahaba alikua media owner na alifanya biashara ya muziki wa Bongo Flava!

Anamiliki radio station,tv station,digital media company na mpenzi mkubwa wa serikali ya CCM na looters wote!

Amekufa juzi,watu ndio wanajifanya kulia kinafiki!
Natoka central.
Mungu amlaze mahali pema peponi. Ni njia yetu sote. Nakumbuka ichoboy01 akinitukana nilipomkashifu kwa kucheka wafu kutoka Kenya. Kumbe watz hufa pia!
 
we mbona unagonganisha lugha, ukishasema somali ni kabila ndani ya kenya maana yake hiyo nchi ya kenya bila kujali asili yao ni somalia,...
Exactly. Na hao Wasomali wa kwenye hiyo ardhi ni Wakenya wenye asili ya Kisomali.
 
Back
Top Bottom