The only true religion is Christianity. Jesus died and rose again.
Ukristo ni mojawapo wa maelfu ya dini mbalimbali zilizopo hapa duniani kwa sasa!
Ukristo ni wa juzi,una miaka 2000 tu,ila binadamu ana historia ya miaka bilioni 4 hapa duniani!
Katika historia ya dunia ya hiyo miaka bilioni 4,kuna dini chungu nzima zilikuja na kuondoka kutokana na kipindi cha historia na mahitaji ya mwanadamu kwa kipindi hicho,Ukristo nao umekuja na utaondoka!
By rule of thumb tu,ndani ya miaka milioni moja tu ijayo,binadamu atakua tofauti kabisa na mwanadamu wa sasa,hivyo outlook yake ya dini na mazingira yake yatabadilika na yatakua mengine kabisa,survival ya dini yako ya Kikristo utakua haupo!
Kwa kifupi ni kwamba,Ukristo umekuja na utaondoka kutokana na nyakati na mahitaji na uelewa wa mwanadamu unavyobadilika!
Wewe kujitetea na Ukristo leo ni kwasababu wewe ni mwanadamu wa leo na mahitaji yako ni ya zama hivi za leo,lakini wanadamu wa miaka milioni moja ijayo watakua na mahitaji na uelewa tofauti na wako leo hii!
Islam, Mohammed never resurrected and in his book the Koran he instructed Muslims to kill all non-muslims
Unaona hii ndio hatari ya dini!
Washika dini mna selfishness ya hali ya juu sana...Kila mmoja anasema dini yake ni bora zaidi ya mwingine.
Wewe hapo unairushia dini ya kiislamu lawama kwamba ni mbaya as if Ukristo hauna mabaya yake ya Christin Pacifism,Non-Resistance Wars,Just War Theory and Crusades.Ukristo na fujo ni chanda na pete.
Kwahiyo hapo mmejenga chuki baina yenu nyie na waislamu kwa lawama kama hizi wakati dini zote zote zina mabaya na mazuri yake hivyo zote ni za kipumbavu tu in a grand scheme of things!
What's written in the book (bible about prosecution of Christians is evident now.
Unazidi kujenga chuki kwa kujigeuza victims.....Dini ni violence,na hii ni proven kwa hizi lawama unazitoa hapa!
I would be an atheist if there was no Christianity.
Unaongea tu sababu tayari matukio yalishatokea hivyo sentensi yako ni non consequential.
Ukristo mababu zako waliletewa na wazungu ikarithishwa mpaka wewe ukazaliwa juzi ukaipokea kutoka kwa wazazi wako!
Kwa kifupi,Ukristo ulikua forced onto you bila wewe kujua,hukufanya conscious decision kufanya uchaguzi,ulijikuta tu umelelewa Kikristo sababu wazazi wako na jamii yako ni Wakristo.
Yeah,a nigga with zero belief on any form of a deity