Somalia yaanza kuwafukuza Wakenya!

Somalia yaanza kuwafukuza Wakenya!

Kijana chunga mdomo wako huko kukaa uhamishoni hakukuzuii kupatwa na laana
Wyatt Mathewson hawezi kamtusi rais wake magufuli lakini ana ujasiri wa kumtukana Mungu na mwanae Yesu. Hajui kwamba Mungu hadhihakiwi.Mzungu mmoja kapanda kwa paa La jumba na kuwatishia watu akisemawajaribu hatua moja hivi atawapiga risasi na akamtukana Mungu hadharan alianguka kichwa kikarudi mwilini. A certain President from Brazil na wengine wengi walikufa vifo vya kutatanisha after mocking God.
 
@Wyatt Mathewson hawezi kamtusi rais wake magufuli lakini ana ujasiri wa kumtukana Mungu na mwanae Yesu.
Rais is a real object,can have objective feelings of my insults..That would cause empirical damage to him since he trully exist as an animal/human being!

I cant cause pain to something which does not exist!

Nooooo!

Hajui kwamba Mungu hadhihakiwi.
Mungu ha-exist...

Hivyo matusi yangu yanapita hewani,hayawezi cause pain kwa kitu ambacho hakipo!

Kwa kifupi nimetukana "hewa"....emptiness/vacuum/hakuna kitu!

Mzungu mmoja kapanda kwa paa La jumba na kuwatishia watu akisemawajaribu hatua moja hivi atawapiga risasi na akamtukana Mungu hadharan alianguka kichwa kikarudi mwilini. A certain President from Brazil na wengine wengi walikufa vifo vya kutatanisha after mocking God.
Hizi stori za kufikirika tu....Hazina ukweli wowote!

And usije chukua tukio ukalitafsiri kwa biases zako za kikristo ukasema ni mungu!

Jamani,hebu kueni serious!
 
Rais is a real object,can have objective feelings of my insults..That would cause empirical damage to him since he trully exist as an animal/human being!

I cant cause pain to something which does not exist!

Nooooo!

Mungu ha-exist...

Hivyo matusi yangu yanapita hewani,hayawezi cause pain kwa kitu ambacho hakipo!

Kwa kifupi nimetukana "hewa"....emptiness/vacuum/hakuna kitu!

Hizi stori za kufikirika tu....Hazina ukweli wowote!

And usije chukua tukio ukalitafsiri kwa biases zako za kikristo ukasema ni mungu!

Jamani,hebu kueni serious!
Hhahahaha so hilarious. Kuna swali uliulizwa hapo juu kuhusu the creator of the universe na hukujibu ipasavyo. You started to talk about evolution .wewe ni evolutionist ?
 
Evolution is a human effort to try to explain where we came from...Lakini haitoshelezi!

Bado tunaendelea kufanya utafiti,majibu bado,yatakuja kupatikana na huu mjadala utaisha!

Currently mimi naikubali Evolution Theory zaidi ya theory yenu ya Creationism,japo zote zina makosa!

Tatizo lenu hamuendelei kufanya utafiti,mlichokitoa ni hicho hicho eti ni sahihi 100% wakati ni upumbavu!

Jibu langu umelielewa sasa?!
 
Evolution only explains where human came from. The question here is about the universe. Long before man came into existence. Dunia na mbingu zilitoka wapi? You're trying to evade this question.
 
Heee,wewe Jeni!

Hebu tuliza akili mingi!

Evolution ni kuhusu existence ya living things,sio human tu na hii inapambana na ujinga wenu wa eti mungu aliumba hivi viumbe kwa neno and they occured from nowhere!

Kuhusu universe,bado mpo short sighted na neno universe,kuna multiverses with multi-realities!

Hivyo universe ni kitu kidogo mno...

Na kuhusu possible begginings za universe tunatumia theory ya Big Bang....Ambayo nayo ina makosa yake,sio kamilifu,bado tunaendelea na utafiti ipo siku tutapata majibu na proof zote universe ilianzia wapi kwa uhakika wa asilimia 100.

Mpaka sasa bado japo kwa kuanzia tuna Big Bang Thoery!

Subirini!

Nyie sasa mnasemaje?Eti kuna kapumbavu kamoja kanaitwa Mungu eti kalisema Ulimwengu tokea,na ukatokea!Ukiulizwa how?Jibu ni...aaah,I dont know,ask God!Ukiulizwa where is he?Jibu ni...aaah,I dont know!

Comedy upon comedy!
 
Kijana umeniacha na maswali mengi sana. Hiyo ya evolution tulisoma historia na big bang theory jiografia lakini hazijibuhazijibu chochote. BTW, scientists wanaamini uwepo wa deity coz kuna mengi which are unexplainable. Km.DNA.
& why could everything be so much in order? Day and night has never extended! 24hrs! Etcetera
 
No one knows for sure...

As scientists we are still trying to find answers!

Currently,religious theory of universe creation is not convincing either!

Shida yenu nyie msha-conclude kwa imani yenu which does not make any sense!

Plus,unachosema Universe ni moja,evidences are currently showing that there are Multiverses with multiple realities which infact makes hoja inayotolewa na dini kuhusu uumbaji stupid and stupid!

As human efforts and intelligence is trying to find answers,as usual he will prove religion is wrong as it has been proven on other beliefs through and through!

As scientists effort to find answers,they came up with Evolution Theory which infact is trying to explain,but with alot of shortcomings...

Just like theory given out na nyie watu wa Dini on Creation Theory which of course has shortcomings too,tatizo mnasema ni perfect and is NOT to be criticized,which makes it and you believers very stupid![/QUOTE/)
The issue of religion can be debatable but the evidence of existance of a super natural creator /being (God) is not debatable.The big bang theory is the most scientifically accepted
No one knows for sure...

As scientists we are still trying to find answers!

Currently,religious theory of universe creation is not convincing either!

Shida yenu nyie msha-conclude kwa imani yenu which does not make any sense!

Plus,unachosema Universe ni moja,evidences are currently showing that there are Multiverses with multiple realities which infact makes hoja inayotolewa na dini kuhusu uumbaji stupid and stupid!

As human efforts and intelligence is trying to find answers,as usual he will prove religion is wrong as it has been proven on other beliefs through and through!

As scientists effort to find answers,they came up with Evolution Theory which infact is trying to explain,but with alot of shortcomings...

Just like theory given out na nyie watu wa Dini on Creation Theory which of course has shortcomings too,tatizo mnasema ni perfect and is NOT to be criticized,which makes it and you believers very stupid!

Evolution theory is a very weak theory anyway lets not get into that.
All scientific observations of our reality leads us to believe that the universe had a beginning[which is a fact]
At some point everything was non existance this can be numerically represented as: 0
First law of thermodynamics tells us matter and energy cannot be created all destroyed
We know matter and energy cannot create itself .Mathematically speaking Atheism says: At some point during the eternity of nothingness..0+0 will eventually at some point=1

0=NOTHING This is impossible .No matter how much time you give it you will never get something from nothing. its a mathematical and scientific impossibility
0=THE BEGINING
1=THE CREATION
0+0=1

perhaps a more accurate numerical represention of the origin of the universe could be stated as 1+0 =1
1 =The creator
0=The Beginning
1=The creation
lets not derail the thread i major in astronomy and astrophysics and i can tell you that the evidence of a super creator cannot be simply written off . Atheists are just ignorant of facts.
 
Heee,wewe Jeni!

Hebu tuliza akili mingi!

Evolution ni kuhusu existence ya living things,sio human tu na hii inapambana na ujinga wenu wa eti mungu aliumba hivi viumbe kwa neno and they occured from nowhere!

Kuhusu universe,bado mpo short sighted na neno universe,kuna multiverses with multi-realities!

Hivyo universe ni kitu kidogo mno...

Na kuhusu possible begginings za universe tunatumia theory ya Big Bang....Ambayo nayo ina makosa yake,sio kamilifu,bado tunaendelea na utafiti ipo siku tutapata majibu na proof zote universe ilianzia wapi kwa uhakika wa asilimia 100.

Mpaka sasa bado japo kwa kuanzia tuna Big Bang Thoery!

Subirini!

Nyie sasa mnasemaje?Eti kuna kapumbavu kamoja kanaitwa Mungu eti kalisema Ulimwengu tokea,na ukatokea!Ukiulizwa how?Jibu ni...aaah,I dont know,ask God!Ukiulizwa where is he?Jibu ni...aaah,I dont know!

Comedy upon comedy!
what field of science do you major in?

Big bang is not a new theory. It is one of the most scientifically accepted theories and it has been proved and is gaining more ground each day .Concerning the evolution theory its one of the weakest. Scientists hoped that DNA evidence would reveal a grand tree of life where all organisms are clearly related. It hasn't .
Random mutation cause harm to organism and does not build complexity as the evolution theory tend to state.
 
Kijana umeniacha na maswali mengi sana. Hiyo ya evolution tulisoma historia na big bang theory jiografia lakini hazijibuhazijibu chochote. BTW, scientists wanaamini uwepo wa deity coz kuna mengi which are unexplainable. Km.DNA.
& why could everything be so much in order? Day and night has never extended! 24hrs! Etcetera

Nasikitika kusema paragraph yako yote ni pile of lies!

Kuamini kuna mungu au hakuna ni personal belief ya mtu,haijalishi ni scientist au mkulima!

Sayansi kama sayansi kama displine haijali wewe unaamini nini,yenyewe inaangalia truths kwa experimentalism na emprical evidences....

Hizo beliefs na sentiments zako peleka kwa huyo Mungu...

DNA ni matokeo ya juhudi za mwanadamu kupitia sayansi katika kutafuta majibu ya chanzo cha life....Haijaibuka tu kama unavyodai!

Na just kukuweka sawa tu,DNA discipline ndio kwanza ipo kwenye stages ya development,we have long long way to go!

Kwanini vitu vipo so much in order?Tunatafuta majibu kwa Sayansi na sio maneno ya kwenye Biblia aliyoandika mpumbavu mmoja hapo Middle East karne ya 3!
 
Evolution theory is a very weak theory anyway lets not get into that.
All scientific observations of our reality leads us to believe that the universe had a beginning[which is a fact]
At some point everything was non existance this can be numerically represented as: 0
First law of thermodynamics tells us matter and energy cannot be created all destroyed
We know matter and energy cannot create itself .Mathematically speaking Atheism says: At some point during the eternity of nothingness..0+0 will eventually at some point=1

0=NOTHING This is impossible .No matter how much time you give it you will never get something from nothing. its a mathematical and scientific impossibility
0=THE BEGINING
1=THE CREATION
0+0=1

perhaps a more accurate numerical represention of the origin of the universe could be stated as 1+0 =1
1 =The creator
0=The Beginning
1=The creation
lets not derail the thread i major in astronomy and astrophysics and i can tell you that the evidence of a super creator cannot be simply written off . Atheists are just ignorant of facts.

Mkuu

Hatujasema Evolution Theory ni strong,tumesema ni mwanzo kabisa wa mwanadamu kupitia Sayansi kutafuta majibu ya upi ni mwanzo wa maisha hapa duniani!

Ni very weak indeed,ndio maana wanasayansi wapo maabara kwa miaka maelfu na maelfu kutafuta majibu!

Yatakapopatikana majibu sahihi ya kisayansi beyond reasonable doubt dunia mtaambiwa,na mtapewa ruksa ya ku-challenge ukweli wake!

Ndio uzuri wa Sayansi,always we can improve and get new facts as we are doing to prove this theory.

Nyie sasa:

Mnachokisema ni mwanzo wa maisha kupitia theory ya Creationism ni vituko vya karne maana hata mtoto mdogo hawezi waelewa mnazungumza madudu gani!

Na kibaya zaidi,kinachosemwa na Biblia kua ndio mwanzo wa maisha ni final and is not to be challenged or improved!

Ni fullstop,God has said it,no one can challenge it!
 
Hawa watu hawana uungwana wampokewa na na Kenya na kupewa Makambi Sasa Angalia na bado hawa Watu Wataitesa Afrika ya Mashariki.
Ewe Mtanzania Ewe Mkenya Balaa linakuja.

What do Kenyans do in Somalia?
 
Nasikitika kusema paragraph yako yote ni pile of lies!

Kuamini kuna mungu au hakuna ni personal belief ya mtu,haijalishi ni scientist au mkulima!

Sayansi kama sayansi kama displine haijali wewe unaamini nini,yenyewe inaangalia truths kwa experimentalism na emprical evidences....

Hizo beliefs na sentiments zako peleka kwa huyo Mungu...

DNA ni matokeo ya juhudi za mwanadamu kupitia sayansi katika kutafuta majibu ya chanzo cha life....Haijaibuka tu kama unavyodai!

Na just kukuweka sawa tu,DNA discipline ndio kwanza ipo kwenye stages ya development,we have long long way to go!

Kwanini vitu vipo so much in order?Tunatafuta majibu kwa Sayansi na sio maneno ya kwenye Biblia aliyoandika mpumbavu mmoja hapo Middle East karne ya 3!
The issue about different religions is debatable but you cannot run away from the existence of a creator
 
Mkuu

Hatujasema Evolution Theory ni strong,tumesema ni mwanzo kabisa wa mwanadamu kupitia Sayansi kutafuta majibu ya upi ni mwanzo wa maisha hapa duniani!

Ni very weak indeed,ndio maana wanasayansi wapo maabara kwa miaka maelfu na maelfu kutafuta majibu!

Yatakapopatikana majibu sahihi ya kisayansi beyond reasonable doubt dunia mtaambiwa,na mtapewa ruksa ya ku-challenge ukweli wake!

Ndio uzuri wa Sayansi,always we can improve and get new facts as we are doing to prove this theory.

Nyie sasa:

Mnachokisema ni mwanzo wa maisha kupitia theory ya Creationism ni vituko vya karne maana hata mtoto mdogo hawezi waelewa mnazungumza madudu gani!

Na kibaya zaidi,kinachosemwa na Biblia kua ndio mwanzo wa maisha ni final and is not to be challenged or improved!

Ni fullstop,God has said it,no one can challenge it!
Cc Nyani Ngabu njoo umsome mdogo wako
 
Naona maulamaa na watumikiaji wana discus dini

All in all kila mtu akae nchin kwao ebo

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
what field of science do you major in?

Big bang is not a new theory. It is one of the most scientifically accepted theories and it has been proved and is gaining more ground each day .Concerning the evolution theory its one of the weakest. Scientists hoped that DNA evidence would reveal a grand tree of life where all organisms are clearly related. It hasn't .
Random mutation cause harm to organism and does not build complexity as the evolution theory tend to state.

Mkuu

Unachokisema ni safi kabisa!

Ndio uzuri wa Sayansi!

Theories zote hizo tulizonazo sasa hivi,kama ulivyoelezea,zina mapungufu makubwa ndio maana kila siku wanasayansi wapo maabara dunia nzima kujaribu kutafuta majawabu ya haya mambo!

Na majawabu bora zaidi yanapopatikana,yanachapishwa na wanasayansi wote wanaruhusiwa ku-challenge those findings just to improve!

Ndio maana mpaka leo mwanadamu kwa kupitia ubongo wake akitumia Sayansi kama discipline amefanikiwa ku-prove uwongo wa mambo mengi tu ya yalioandikwa kwenye dini zenu huko!

Mwanadamu ka-prove through na through dini ilichokua inaamini dunia ni flat kua ni indeed spherical.Nakadhalika!

Shida ya theory za dini wenyewe wanatamka tu "Mungu aliumba" which does not make any sense!

Na kilichoandikwa kwenye vitabu vyao kuelezea hivi vyanzo ndio final and the whole truth,hurusiwi kupinga au ku-improve au ku-verify,au ku-question chochote!

This is ridiculous!
 
Back
Top Bottom